Bunge la katiba hongererni kwa kuwajadiri Ukawa kwa ustarabu na mko nje ya hoja Watanzania wenye nia nzuri tunawasikiliza
Sent from my iPad using JamiiForums
Nilitegemea mgombea wa ubunge kupitia CCM angekuwa anajivunia mafanikio ya miundombinu ya barabara,maji,shule na umeme kutokana na CCM kuwepo kwa muda wote lakini cha kushangaza ndo kwanza anelezea namna atakavyo kabiliana na changamoto hizo kama ambavyo wengine waliotangulia walivyojinadimkwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.