Recent content by Shilingii

  1. Shilingii

    Wasira: Urais 2025, chanzo upotosha uwekezaji bandari

    Huyu wasira apumzike Sasa kiherehere uzeeni si vizuri vijana wasomi wapo kibao kwasasa kapitwa sana na wakati
  2. Shilingii

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

    Jinga sana utakuta nduguzo wanalala njaa badala uwaombee wapate basic needs unaombea mashine ya watu!! Ombea ata mkeo basi asichepuke mxyuuuh!
  3. Shilingii

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Hoja kamahizi nisawa na kujamba kwanguvu ukweni kwenye hadhara!! Huna point piga kimya... Mtu aliyemtuhumu mtoto wa mshauri mkuu kuwa ni dragidila apewe uenezi?
  4. Shilingii

    Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

    Dini nyingine ni za kijasusi huwezi wazuia linapokuja swala la aslahi Yao. Historia inasema walipouwa wanaijenga wapo waliopotezwa Sasa utawaweza hao watu kweli?
  5. Shilingii

    Lissu: Rais Samia amefanya ‘kitu cha kijinga’ kuliko marais wote wa Nchi hii (kuhusu Mkataba wa DP World)

    Hata zama mkapa analaumiwa kubinafsisha kizembe nayeye kuitia wakosoaji wapumbafu Kuna mapuuzi yalimuunga mkono na kutetea ujinga wooote kwanguvu kuuubwa! Wakati mkapa anakuja kukiri alikosea saana Yale mapuuzi yaliyounga mkono ujinga yamejikausha nandiyo haya yanaunga mkono mwarabu amilikishwe...
  6. Shilingii

    Lissu: Rais Samia amefanya ‘kitu cha kijinga’ kuliko marais wote wa Nchi hii (kuhusu Mkataba wa DP World)

    Unajionaga unahoja kumbe hovyo kabisa wewe ni wakumwongelea Lissu hivyo? Hutoshi hata kufuta viatu vyake!! Unachoweza ni kujipendekeza kila kitu makofi na kujichekesha ukitafuta kuonwa.
  7. Shilingii

    CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

    Sawa tuu ashakuuula vyakutosha Sasa nimda wa kuny*... Lazima awachane vyakutosha na bado
  8. Shilingii

    Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Hata msukuma alshapata nae akawekewa jina kwenye plate no. daadek!! Uchawa unapay mbayambovu
  9. Shilingii

    Milioni tano naweza pata wazo gani la kufungua biashara

    Tuchangishane tukanunue fressian wa maziwa baadae tutajenga kiwanda chamamilki
  10. Shilingii

    Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Mawazo ya kijinga sana kwahivyo tukubali kwakuwa ametuambia? Tuseme namtaka mkeo nikimvizia kimya ntapiga Sasa nkikuletea mkataba niwe namkula utakubali kwakuwa wapo walomla bila kukushirikisha??
  11. Shilingii

    Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Kupiga kura kwa mazingira ya tume isiyohuru nisawa na kuweka mapambo kwenye mavi....
  12. Shilingii

    Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

    TRA nayo haiendeshwi wa ufanisi vipi nayo tuwape wahindi maana wao wanajua sn mapato tutakusanya mmmno napia kavipi ikulu tuwape wamarkani wanajua kuendesha waitihausi kiutalii wanapigaga mahela humo
  13. Shilingii

    Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Ningekujibu ila ushajitukana mwenyewe wenyeakili tushakuelewa wewe niwaaje!!... Tubuuokolewe
  14. Shilingii

    Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

    Umeolewa na mwarabu Nini mbona unachuki nikiwapinga
  15. Shilingii

    Facts kadhaa zinazoufanya Mkataba wa Tanzania na Dubai juu ya Bandari kuwa batili. Tuwe nazo Makini

    Kwanini tunapelekwa Kwa mwarabu,mzungu katawalaaaa Sasa zamu ya mwarabu
Back
Top Bottom