Recent content by Shilewashile

  1. S

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

    Taa za Corona 1.8 matako ya nyani za mbele na nyuma used na reflector yake bei zake please.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    inawezekana[/red color]
  3. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    Yaani Elimu ya Tz inatia shaka ndiyo maana kipaumbele cha Lowassa 1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu Msomi ndiyo tunategemea waelimishe jamii lakini.....mmmh!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Tunataka mtu wenye msimamo dhabiti, anayeweza kusimamia kauli zake mwenyewe bila kutetereka.
  5. S

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Nasikia hakuwepo, nilifuatia sana kuona kama yupo lakini sikumwona.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    swali kwa Mwakyembe; Richmond inalipwa mpaka sasa,kupitia dowans sasa ni nani analipwa hadi sasa? kwa sababu kampuni ipo na inaendelea kulipwa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Nashindwa kabisà kumweelewa Mwakyembe kwanini hakusema yote wakati lowasa hakiwa CCM siyo kosa?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa azomewa na vijana wazalendo Morogoro

    hakuna zomea yoyote acha uongo: weka kaushahidi kapicha vya video
  9. S

    JamiiForums Tanzania Dakika za lala salama, Mwana mabadiliko umejipanga vipi?

    ofisi nzima ya watu 50 tutampigia Lowasa na ofisi zingine za marafiki zangu tutampigia Lowassa. Mabadiliko
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa Alala kwenye Msiba, hii ni ishara ya dharau kwa wafiwa

    ni wakati wa sala hii picha, unajua wengine hawajui mambo ya sala kwa sababu hawaendi msikitini wala makanisani
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Tukuyu mafuriko yanatisha

    net ipo vibaya sana Leo nashindwa ku upload picha
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Lowassa Tukuyu mafuriko yanatisha

    Sijawahi kuona huu uwanja ukifurika watu namna hii kila kona ni maandamano ya watu na nyimbo za Lowassa. Watu wamekesha Lowassa hajafika ila watu tangu asubuhi wapo wamejaa. Kweli mafuriko hayazuiliki kwa mikono.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi imarisha ITV

    yaani Leo wameboa sana. sasa kwani waongee na azam TV waunge kwao
Back
Top Bottom