Shilewashile
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 121
- 48
Sijawahi kuona huu uwanja ukifurika watu namna hii kila kona ni maandamano ya watu na nyimbo za Lowassa. Watu wamekesha Lowassa hajafika ila watu tangu asubuhi wapo wamejaa. Kweli mafuriko hayazuiliki kwa mikono.