Kuna kiongozi mkubwa wa serikali ndiye aliyenunua hilo eneo nainasemekana amejaribu kumomba mkurugenzi abadili msimamo imeshindikana na Jana ndiyo kawatengeneza wamama mtilie waendee kuandamana na kuwalipa ujira wa elfu kumi
Zitto mtakwaamini siku nchi ikishitakiwa maaana wewe na Lisu mlisemaga tutashitakiwa na akina Bariki Leo hii Magufuli na Prof. Kabudi wametuvusha kibabe
Hilo tango pori la bandari hatutalila maana tushaa kujua
Diwani wa kata ya Machame Magharibi Marti Munis ameshauri mwananchi ambaye hataenda kujiandikisha asipewe huduma kwenye mtaa na kitongoji chake Munis ameshauri daftari hilo kutoa huduma kama jina mtu halipo asipate huduma kwenye mtaa ama kijiji chake
#NendaKajiandikishe https://t.co/Vm9QWH2hb5
Mbunge wa vitimaalum kundi la wasomi wa vyuo vikuu Ester Mmassi amewata wananchi wa MACHAME MAGHARIBI Kuendelea kuiunga mkono serikali ya CCM chini ya Dkt John Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na mzuri anazozifa za kuwaletea watanzania maendeleo mbunge Mmassi ameyasema hayo Leo kijiji Cha Nronga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.