Mbunge Ester Mmassi na DC Sabaya wafanya kweli Machame Magharibi wasema hata bila mbunge wao watasimama kuhakikisha Hai inaendelea

SHILAWADU 22

Member
Oct 5, 2018
28
8
Mbunge wa vitimaalum kundi la wasomi wa vyuo vikuu Ester Mmassi amewata wananchi wa MACHAME MAGHARIBI Kuendelea kuiunga mkono serikali ya CCM chini ya Dkt John Pombe Magufuli kwa kazi kubwa na mzuri anazozifa za kuwaletea watanzania maendeleo mbunge Mmassi ameyasema hayo Leo kijiji Cha Nronga kata ya MACHAME MAGHARIBI kwenye viwanja vya shule ya msingi Naluti

Mbunge Mmassi awataka wakaazi wa Hai kutokuwa Wanyonge kwani makosa Yao ya 2015 walishaa samehewa Shetani aliwapitia 2015 wao nao wajiandae kumpitia huyo Shetani 2020 najua serikali za mitaaa hapa mmeshaamaliza maaan Diwani wenu hapa Kaka Martin Munisi ni mchapakazi mzuri Sana amesababisha niipende MACHAME MAGHARIBI na wahaidi nitakuja nakuja tena na kwa vile Jimbo hili la Hai halina muwakilishi nawaahidi nitawasemea kila mahali nakuhalikisha sauti yenu inasikika Huku tukisubiria 2020 kufanya maamuuzi ya kumpa mbunge atayeshiriki shida na raha zenu

Mbali na kusikiliza kero za wananchi hao ambao walimomba mbunge Mmassi awasaidie kwenda kuisemea barabara ya Nronga ambayo Mbunge wa Jimbo wameshindwa kumpata kwa kipindi Cha Miaka mitatu ambayo wamemwandikia barua bila kujibiwa mbunge Mmassi amewaahidi wananchi hao kuyatafutia uvumbuzi matatizo waliyowasilisha kwake barabara shamba la lambo wanyama waharibifu na Bei ya kahawa

Mbunge Mmassi amekabidhi Rangi sement kwaajili ya kuikarabati Shule ya Msingi Naluti ambayo kwasasa inahali mbaya kwenye majengo yake Huku mkuu wa wilaya ya Hai akitoa Bati kwaajili ya kuezeka madarasa yaliyo chakaa

Mchungaji wa kanisa la KKKT Usharika wa Nronga ameipongeza serikali na Chama tawala akiwata waendee kuwa katibu na wananchi maana zamuhii Mungu amewapa wawatumikie wananchi na Wanyonge wasiyo na sauti wafanye kwa usahihi na Haki maana ipo siku mtaulizwa sisi tunawaombea

Diwani wa MACHAME MAGHARIBI Martin Munisi amemshukuru Mbunge Mmassi kwa kukubali kuja kuongea na wana MACHAME MAGHARIBI nakuleta vifaa vya ukarabati wa Shule nikakushukuru Sana mbunge wa kundi la wasomi Mungu akuzidishie hapa umekuja kuwatengenezea wasomi wenzako njia mzuri ya kufika ulipofika wewe na zaidi Asante sana mfikishie salamu zetu Rais wetu Magufuli mwambie tunamombea na maadui zake ni maadui wa Tanzania nani maadui wa Mungu alisema Diwani Munisi

Mbunge Mmassi aliahidi kurudi Tena Nronga kwajili ya kule majibu ya baadhi ya kero

Mwandishi Kicheko Radio Moshi .Sikiliza kicheko Radio asubuhi kwaa taarifa zaidi
IMG-20190826-WA0447.jpeg
 
Mambo yamekuwa mambo, Ally Choki mzee wa caterpillar

Hizi chorus ni za kizamani sana imebaki story tu

Mambo ya wenga bcbg Haya, Au wenga ya werason
Wapi JB mpiana,

Mleta mada mnatumia nguvu kubwa sana kushawishi hizo chorus hazichezeki miaka hii imebaki story

Mtapata tabu sana sana uelewa wa watu ni mkubwa sasa

CCM hoyee hoyee oyeee

Wanaposema ndio, ndioooooooo
 
Mambo yamekuwa mambo, Ally Choki mzee wa caterpillar

Hizi chorus ni za kizamani sana imebaki story tu

Mambo ya wenga bcbg Haya, Au wenga ya werason
Wapi JB mpiana,

Mleta mada mnatumia nguvu kubwa sana kushawishi hizo chorus hazichezeki miaka hii imebaki story

Mtapata tabu sana sana uelewa wa watu ni mkubwa sasa

CCM hoyee hoyee oyeee

Wanaposema ndio, ndioooooooo
Mkuu toa haja ndogo ukapumzike
 
Back
Top Bottom