Recent content by shija masanja

  1. S

    TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Hakika kwa mwenyezi mungu ndio rejeo letu "pumzika kwa amano
  2. S

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Ingekua ziara ya kushtukiza waandisshi was habari walindamana nae vipi /walijuaje au walifika baada ya muheshimiwa kwa kupigiwa sm na washkaji..TUSITANIANE
  3. S

    Matamshi mabovu yameharibu baadhi ya majina ya kigeni

    Umeshasema ya kigeni hebu soma hiyo post yako kama ulichoandika ndio kiswahili hats daraja LA chini
  4. S

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Viongozi wengi wa upinzani huingia madarakani kwa dhamira ya kukomoa kubishana na kuhiniana kiasi kwamba nafsi zao wamzijaza kibri wasichosifa hivyo hupandia mambo kuonesha kuwa wapo hata pasipohitajika siasa sio kujivika majoho ya utukuzwa Bali kusaidia kupanga taratibu zilizopotoshwa
  5. S

    Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

    Nadhani hao madiwani hawajui maana ya mkuu was wilaya lkn siamini kama panahitajika semina elekekezi hao wanaviashiria vibaya vya kuipinga kauli mbiu ya "hapa kazi tu"
Back
Top Bottom