Recent content by Shighatini

  1. S

    Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Magufuli raisi kwa kura kubao
  2. S

    Ubunifu wa CHADEMA kifo cha CCM

    yametutia umaskini wa hatari,pamoja na mali zote tulizo nazo,we need changes now
  3. S

    Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

    Hamna kama Lowasa,wengine wote fake
  4. S

    Lowassa: Nafuatiliwa na CCM kila kona

    Hamna zaidi ya Lowasa kwenye uraisi,Lowasa ndio atatutoa kwenye umaskini uliokithiri
  5. S

    Muswada wa mahakama ya kadhi waondolewa bungeni

    wasingeondoa wakristo nao wangetaka mahakama ya askofu,baniani nao yao,makalasinga nao yao n.k. ingekua vurugu tupu
  6. S

    Spora Liana: RC Arusha aliniomba hongo ya Millioni 100

    Sipora safi sana ningekua naweza ningempa uraisi
  7. S

    Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza

    Jitahidi kufanya editing unapoandika habari
  8. S

    Waziri Wassira hataki na anapingana na Bosi wake Kikwete kuonana na UKAWA

    Hamna katiba hapa kuna majitu yameshaharibu mapema,hayajui hata watoto wao na wajukuu kua katiba, itawasaidia baadae kisha hamna katiba mpya,mliokula hela bunge la katiba bila katiba mtatutambua gademit watakoma baadae,yanafikiria leo tu si kesho na keshokutwa na mtondo goo,hii mimi naona ni...
  9. S

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    sisi tunauwawa albino wanavyotuita,wanatukata kama nyama ya butcher,Mungu yupo iko siku.
  10. S

    GE2015 Taarifa kuwa Kikwete hamuungi mkono tena zamchanganya Membe

    Huo ndio ukweli wenyewe,wengine wanapoteza muda wao
  11. S

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    huyu jamaa vipi eti ludini,akajifunze lugha kwanza
  12. S

    Njombe wamewakubali Mbowe na Dr. Slaa wakubalika kuendelea kuiongoza CHADEMA

    Hata Nyerere alisubiri chama kikomae ndio akawapa wengi wengine hivyo ni sawa Mbowe na Slaa kuendelea mpaka uhuru upatikane ulio kamili nchini hiki chama inamaana wanachama wengne hawajiamin kukiongoza chama hcho mpaka kufikia hatua ya kuwaacha wale wale waongoze? Hii tabia ya kutokubadil...
  13. S

    Kujenga Nyumba Vs Kununua Nyumba kwa Mkopo wa benki

    wanaona watanzania ni mafala,wanajengea matajiri wanajidai nyumba nafuu,hio mil 43 unapata nyumba kali zaidi ya hizo zilizoongozana kama gari moshi
  14. S

    Salaam Kwa Mbunge Msigwa

    Hatoki ng'o
Back
Top Bottom