Recent content by shigella20

  1. shigella20

    JamiiForums Tanzania Mshitakiwa wa ugaidi aonyesha alivyolawitiwa na Polisi Mahakamani

    Watu wote wanatakiwa kujua Tanzania inataka mabadiliko kwani hakuna taasisi yeyote ndani ya nchi inayotenda zaidi ni kuamrishwa na kupewa maelekezo au maagizo ya kufanya toka ngazi za juu, sasa kama vitengo kama Takukuru, haki za binadamu, mahakama, polisi hawawezi kutenda kwa utendaji wao...
  2. shigella20

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa huduma Benki ya NBC Arusha

    Hii bank nadhani ni ya watoto wa vigogo au wafanyakazi wote wana hisa kwani wana madharau na wanahudumia kama hawataki utadhani hawalipwi, sijui hata uongozi wao hawaoni ili wawasaidie wateja wao?
  3. shigella20

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serekali tatu
  4. shigella20

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwakweli mtandao mkubwa kama Vodacom inasikitisha na kuaibisha pale inapoweka swala usanii ndani ufanisi wao wa kazi, nikianza na dk za cheka kuna usanii mtupu unaoendelea hapo ndani mpaka uwizi wa dk, mbili mkijua mnahitaji wateja wengi boresheni huduma zenu yaani network kwani hapo kuna kero...
  5. shigella20

    JamiiForums Tanzania Bible In Which Jesus Foretold The Coming Of Prophet Muhammad Found!

    Ushauri wangu kwa Waislam fuateni yenu achaneni na jina kubwa kupita majina yote chini ya jua na juu mbinguni Yesu Kristo wa Nazareth
  6. shigella20

    JamiiForums Tanzania Sheikh shariff mtoto aliyetikisa kwa ufahamu wa q'uran tukufu aokoka.

    Yesu juu juu juu zaidi
Back
Top Bottom