Recent content by shige2

 1. S

  Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

  Mkuu wewe unaishi dunia ipi? Fanya utafiti wa kutosha halafu ujibu kwa uhakika wa yale unayoyasema .
 2. S

  Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

  Ndo inavyotakikana kuwa. Baada ya Kampeni tunataka tubaki na nchi moja inayoitwa Tanzania. Maana kuna maisha baada ya uchaguzi.
 3. S

  Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

  Ni makosa. Hapo hamna majadiliano. Kama kila kasisi au Shehe ama maalimu ama Askofu atatumia jukwaa la kidini tutabaki na nchi kweli? Mwingira You went overboard contrary to your calling If you have any.
 4. S

  Askofu Bagonza na Mchungaji Mwingira Siku zingine msiwe mnaonyesha 'Mahaba' yenu ya 'Kiroho' wazi wazi kwa 'Kiboko' ya 'Mkemia' wa Ziwa Victoria!

  Ni makosa makubwa sana kugeuza Kanisa ama msikikiti kuwa jukwaa la kampeni za kisiasa. Ikiwa jambo hili halitakemewa basi hatutabaki na nchi. Hata nchi zilizoendelea Kuna sheria kabisa kuwa mtu yeyote ni makosa kutumia jukwaa la kidini kumpigia kampeni mgombeaji yeyote.
 5. S

  Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

  Aisee mbona siamini masikio yangu? Yaani Tundu Lisu ndo injili? When some media outlets like this one get a ban , they begin to shout from the rooftops that democracy is being muzzled. How on earth do you go that far promoting or engaging in politics while hiding and disguising yourself as a...
 6. S

  Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

  Ninaposema hivyo sina maana kuwe na upendeleo wa kivyama katika kuvuruga amani. Sheria ni sheria hivyo pande zote zile, yeyote atakaye kutuvuruga sisi wananchi naamni hatapendelewa.
 7. S

  Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

  Nguvu?. Kutumia nguvu kunaleta madhara mabaya sana.
 8. S

  Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

  Hata kama ni reaction bado unaji restrain.
 9. S

  Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

  Naamini kuna kauli mbadala hasa unapotaka kuwasilisha ujumbe wowote ule. Kauli kama hizi hazifai hasa kwa mtu anayetafuta wadhifa mkubwa wa kuongoza watu. Zaidi ya hayo umri wake kama Mzee ugemfanya kuyapima maneno yake kabla hajayafyatua. Maana yakishatoka na kuleta madhara huwa hayarudi...
 10. S

  What the hell was that for?

  Mkuu,umeniacha kwenye mataa. Hiki ulichokizungumza? Je ni Kizaramo, Kimakonde , Kidengereko ama lugha ya majuu? Nimepotea. Ulikuwa unataka kusema nini hasa?
 11. S

  Rais mstaafu Kikwete aliweza kukuza Gross National Income kutoka USD 500 mwaka 2005 hadi USD 940 mwaka 2015, ni kutokana na kuvutia uwekezaji imara!

  Samahani. Nilikuwa siko mtandaoni kwa mudando naingia tu.. Swali? Kwani mtakosaje maji na Ziwa lijko hapo hapo? Pengine ni matatizo ya kawaidaama vipi?
Top Bottom