Recent content by shibo

  1. S

    JamiiForums Tanzania AePCC ni shirika gani jaman?

    Wamenitumia email ya kwenda Nairobi kufanya training juu ya ebola,kuna mtu mwenye kuwafaham au ni matapeli?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Walionyongwa China, Damu zao mikononi mwa Kikwete

    Kutaja majina ya watu pasipo na vithibitisho ni kosa kisheria, so watoa maoni inabidi tuwe na uwakika wa kina kwa kila jambo tunalolisema, kwa upande wangu nadhani rosemarie anailaumu serilali yetu kwasababu ya kutokuweka ulinzi zaidi sehemu ambaxo madawa hayo yanapita mfano airport na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza lami grade mbalimbali kutoka nje.

    Kwa yeyote anayeitaji lami ya barabara tafadhali wasiliana nasi kwa namba +255713251003
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza lami grade mbalimbali kutoka nje.

    Hii ni kwa wenye kuitaji lami ya kujengea barabara katika viwango tofauti tofauti wasiliana nasi kwa namba +255713251003.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nanunua mafla za gari ndogo

    Nanunua mafla za gari ndogo, kwa ambao hawazijui, mafla zinakaa kwenye bomba linalotoa moshi wa gari ziko kama kamtungi kadogo ndani zina ungaunga.nazinunua kati ya Tsh.30,000-50,000,kwa kila moja. tafadhali kama unazo wasiliana na mimi kwa namba 0713251003 muda wowote haraka iwezekanavyo. mfano...
  6. S

    JamiiForums Tanzania kAmA nDo uNaLAlA/uNAaMkA hEbU pItIa HaPa tUsMaIli wOtE!!

    Kama mzaz mi naon dogo mjanja na mshua ***** anamlaje mkewe na mwanae yupo hapohap,families lik thos shld stop. Fuc ur wf in the absence of ur kids.
Back
Top Bottom