Recent content by shibi

  1. S

    Uhamiaji Tanzania, Mbona gharama za passport zimepanda Sana

    Tena usinikumbushe ndugu, hakuna ofisi yenye rushwa kama uhamiaji. Hata ukamilishe taratibu zote bila kutoa rushwa utasubiri passport miezi ya kutosha tena muda wote huo wanakutegeshea wanajua utaenda kuulizia na ukifatilia ofisini kwao ndiyo wanakushawishi utoe kidogo ili uipate mapema. Na...
  2. S

    Biashara ya nguo za kike au kiume kariakoo

    Asante kwa ushauri ndugu
  3. S

    Biashara ya nguo za kike au kiume kariakoo

    Asante kwa ushauri, tatizo makazi ni Dar na biashara kama hiyo siwezi kutumana
  4. S

    Biashara ya nguo za kike au kiume kariakoo

    Hapohapo kariakoo au sehemu nyingine ndugu?
  5. S

    Biashara ya nguo za kike au kiume kariakoo

    Habari zenu wakuu, kama title ilivyo hapo juu nimejichanga ili nifungue duka/goli la nguo kariakoo. Mtaji wangu ni 15m (huenda kwa kkoo ni ndogo lakini nimeona niende hukohuko angalau kwa siku watapita wateja wawili watatu kuliko kuanzia huku mtaani ambako naona biashara ni ngumu sana)...
  6. S

    Naomba kujua kampuni zinazohusika na kusafirisha mizigo kutoka China

    Mtafute 0657 862030 jamaa gharama zake ni poa atakupa maelezo yote na mlolongo mzima tangu unaagiza mpaka kupata mzigo wako, pia ni mzoefu wa hizo kazi.
  7. S

    Wanawake ni watu kama sisi; tofauti ni mfumo wa uzazi tu: KWANINI TUNAWATUKUZA?

    Aisee kuwa mstaarabu, ni uchafu huohuo umeshiriki kukuumba, kukuhifadhi,kukuleta duniani na bado unauhangaikia sana ndiyo maana umenyimwa huko unakuja kutoa povu huku. Tafuta pesa ndugu
Back
Top Bottom