Recent content by sheshe

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yatetea mkataba wake na Tanzanite One, wabunge waupinga

    Swala lanjia zapanya ni uzembe serekali,kuusu albino nimesikia kwako, wachimbaji wadogo wanafaida kubwa sana,mzawa akipata madini atajenga,atanunua gari nk,kwaiyo kila atacho nunua serekali itanufaika kupitia vat nk.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nusu Karne na CCM?

    nchi imeuzwa mirerani tunateseka lakini Tanzanite inasafirishwa na Tanzanite one kila siku.wazawa tunakufa,viongozi wajuu wanalijua ilo,sema ufisadi umewazidi.zito wewe ni kama Barack Obama.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nusu Karne na CCM?

    chadema mnatisha,mmefanya kazi nzuri sana.Watanzania tunawaunga mkono kwa juhudi zenu za kuwatumikia wananchi.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nusu Karne na CCM?

    Chadema juu! Zitto nakufagilia!!!
Back
Top Bottom