Recent content by Sheria Step

  1. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania The Defining Moments for CHADEMA: Watanzania wazidi kuikataa CCM na hila zake za kuiua CHADEMA. Maamuzi ya Msajili kuzuia ruzuku yapingwa kila kona

    Nachokiona Wenye mamlaka ni kila siku wanakipa umaarufu CHADEMA.
  2. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Manispaa ya Mpanda imelipa Tsh. 220M kinyume na utaratibu, yakaletwa mabati yasiyo na kiwango

    Mambo ya ajabu sana nchi hii Bado yanafanyika. Usikute Mzabini akawa ni moja ya viongozi wakubwa wa Manispaa hapo hapo, Rubishi kabisa
  3. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Traoré apelekewa ndege na escort ya ndege vita kumpeleka urusi

    Rais Traoure anapaswa kulindwa kwa gharama yoyote ile.
  4. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu, washinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Mfanyabiashara madini

    Hii ni balaa, mauwaji nchi hii yameshamili sana jamani,Ni muhimu Kwa Jeshi la Polisi kuchukua hatua kali
  5. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania KERO Ni lini Daraja la Milala Shongo lililopo Manispaa ya Mpanda litajengwa?

    Ukosevu wa madaraja ni kikwazo Cha maendeleo
  6. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania Makonda anamdhalilisha Mbunge wa CCM Mbele ya Naibu Waziri Mkuu na wananchi

    The government is on Autopilot ?? Yani Mkuu wa mkoa kutoka chama cha Mapinduzi CCM Mbele ya Naibu Waziri Mkuu anamdhalilisha Mbunge wa Chama cha Mapinduzi CCM Mbele ya wananchi huku Vyombo vya habari vikiwa Live 🧎🏽‍♂️hii ni mara ya pili . 1.Je Makonda ni nani?? 2. Makonda anamamlaka gani Juu...
  7. Sheria Step

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu John Noble ni siasa za Simba na Yanga tu

    Yanga wanajambo moja kubwa muhimu ambalo ni kukubali kurudiana kucheza na Simba SC pale bodi ya ligi itakapopanga Tarehe nyingine ya kufanyika mchezo huo.Niwazi kuwa hata ushindi wa round ya ya kwanza kunamazingira tata ya kushinda match hiyo yalifanyika. Jana kilichofanyika Kwa kipa yule ni...
Back
Top Bottom