Recent content by Shelui

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

    Tutaona mwaka 2015 yangu macho!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

    Mbowe aache mipasho Kama anawajua wasaliti si awataje hadharani? Yaani hizi siasa za majungu zimepitwa na wakati, yeye ni Mwenyekiti basi awataje hadharani kuonesha demokrasia! Sie tunajua unayemsema na kwanini umeyasema hayo na uliyemsema anajua unamsema nani! Na alijua mapema utanena...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha, Samson Mwigamba asimamishwa uongozi, baada ya kukiri kusema uongo

    Tutayaona mengi sana mwaka huu tuombe uzima tu. Mwaka huu wasiposambaratika hawa basi bahati Yao. Ugomvi umeanza kwa Mwenyekiti wa AR na bado mikoa kibao kutoa tamko kumuunga mkono Mwigamba. Ukweli unajulikana sasa hata mukimfukuza tayari umma umeshajua! Hakuna demokrasia ndani ya CDM...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

    Na bado vp ametoka ngeu? Red guard walikuwa wapi? Safi sana km kweli maana amezidi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    jibuni hoja za mwigamba acheni ujinga
  6. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    jibuni hoja zake acheni ujinga
  7. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    si busara kutetea wizi na ufisadi. Hoja za mwigamba zijibiwe ipasavyo. Hizi blaa blaa zenu hazisaidii
  8. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    nini kosa la mwigamba? Hoja zake zijibiwe kwanza ndio tupate mda wa kujadili njia aliyotumia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    Ukweli na uwazi ndio wakati wake hivi sasa. Tupinge hoja za mwigamba tusimpinge mwigamba kama mwigamba
  10. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    Mwigamba hana kosa, kosa ni hoja zake kukosa majibu kutoka kwa viongozi wa chadema taifa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    dogooo! Kumbuka, when one door closed, many more are opened.....mlango wa demokrasia ndani ya chama umefungwa, as per mwigamba, a regional party chairman, cheo ambacho ww hutakaa ukipate..utamdharau kwa sababu hujui role and function za hiyo nafasi... So many doors are opened, one of them ni hii...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    unajilegeza kweli kwa ben...what a need!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    una heshima ya woga. Huna ujasiri, ww ni mnafiki. Kwa hiyo kukosoa ni ku spy? Poor you
  14. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    hebu kijana acha woga, acha kuficha maradhi, kifo kitakuumbua. Nn na wapi kosa la mwigamba? Mwita Maranya? Hupendi chama kikosolewe? Unapenda udikteta? Umimi, umangimeza? Poor you.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    kila anayeikosoa chadema anatumika..akili ya samaki hii. Hebu kanusha hoja moja ya mwigamba ambayo ni ya uongo
Back
Top Bottom