Recent content by Shekumkai Yekuiza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge msigwa afikishwa mahakamani

    afungwe tu hata mimi naafiki mtu gani hata akili hana, ndio maana akaambiwa ni mchungaji wa nguruwe. hata nyie mnaemshabikia kwa kuanzisha vurugu ni vinyago tena vya mpapule. hamna akili.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Matukio haya yanalitia doa Jeshi la Polisi

    kwani nani alizitoa hizi taarifa? ni polisi wenyewe au ni nyie? kama niwao polisi ndio walizitoa hizi taarifa watakaaje kimya tena? wangetaka kukaa kimya wasingetoa taarifa hizo kwenye media!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali, Polisi na wana CCM mnajisikiaje mnapoona picha za mauaji ya Daud Mwangosi??

    Mti wenye matunda hupigwa mawe, mwamba wenye madini ndo huchorongwa. sijawahi kumkuta mtu anapiga mawe muarobaini! Washaurini watu wenu waache maandamano yasiyokuwa na tija kwani wengine hatuna faida nayo zaidi ya kutuvurugia shughuli zetu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Serikali, Polisi na wana CCM mnajisikiaje mnapoona picha za mauaji ya Daud Mwangosi??

    hivi kuna siku gani Polisi walipofanya kazi kubwa ya aidha kuzuia uhalifu au kukamata watuhumiwa hatari mkawasifia? hata huu muda unaoupata kutoa malalamishi bila kupima mazingira halisi ya tukio, au kujua sababu ni nini ni kwa sababu serikali kupitia jeshi la polisi wanahakikisha kuna usalama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya noah

    Nnachotaka kusema hapa Sumatra waendelee kukamata magari yote ambayo hayana route. Swala la kusema noah ni hatarishi nadhani sio sahihi ila noah hazilipii kodi kama daladala. Ndo mana sumatra wanazikamata. Na kama mwakyembe anataka kuziruhusu aweke tu utaratibu hautasikia malalamiko tena.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya noah

    Hii Nchi haiwezi kuwa ya watu wanaojiamulia tu bila kufuata aidha taratibu, sheria au kanuni zilizowekwa na mamlaka husika, kila mara bunge linakaa kutunga au kuhuisha sheria mbalimbali. Nashangaa wao (wabunge) kuwa wa kwanza kulalamika wakati ndio wenye mamlaka ya kutunga au kuhuisha sheria...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Magari aina ya noah

    Sidhani kwamba tatizo ni hatarishi, ninavyojua mimi ukitaka kufanya biashara yoyote lazima uwe na leseni. Kwa Dar kuna daladala ambazo zinalipia kodi kwa ajili hiyo, sasa itakuwaje wewe uje na noah yako ubebe abiria ambao wale wanaolipia kodi ndo wanapaswa kuwabeba?
Back
Top Bottom