Recent content by Shekidee

  1. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Hahahaaaaaa one in a million, mwambie huyo!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Njia ya muongo fupi saana, dont trust a liar even when he says the truth..ahsante mwanadiwani.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa apanga kutangaza nia Urais akiwa Arusha

    Ulitaka ang'ang'anie kuingia kwako?!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa apanga kutangaza nia Urais akiwa Arusha

    Tatizo liko wapi, kwanza umepata wapi hizo habari..tutolee unafiki hapa kama huna la kupost tulia.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Ukishajipanga njoo tenaa, hujui unataka kuzungumzia nini.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

    Hahahahahaaaaa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Eeh hawahusiani na siasa tena, mbona unakimbia mpaka unapitiliza kwenu mama..so wakifanyacho ni biashara?!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Swali langu, wanatoa wapi pesaa ya kufanya vikao mikoa sita siku moja..inaonekana unawajua saaanaaa okello,nijibu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Unamaanisha lowassa kamwaga hela katika hili nalo??!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Kwa kile wanachokiita semina huku kikitafsiriwa na wanasiasa kuwa ni kampeni za wazi za ndugu Lowassa, vijana wake wameenda mbali zaidi na kuamua kusambaa mikoani kumtangaza mgombea wao. Mara baada ya kikao cha mwisho kilichofanyika Dar katika ukumbi wa Karimjee, 4u movement chini ya bw Hemedy...
  11. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mlilia urais aliyeshindwa kuongoza Wizara

    Hakika
  12. S

    JamiiForums Tanzania Opportunist Mrisho Mpoto

    Kwelii kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake. YAani huyu jamaa alivyokuwa anatoka nilimheshimu na nilikuwa namkubali saanaa. Heshima yangu ilianza kupotea kwake baada kuanza kutumika na serikali ili kumpunguza makali. SAsa amejidharaulisha wazi kwa jamii kwa kujionyesha mchumia tumbo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aungwa mkono na Wamarekani (USA)

    Pole ndio rais wako ajaye, utazisikia mpaka miaka kumi iishe..i pit you.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM kumuongezea adhabu Lowassa ya miezi 12, jumatatu 19 Jan 15.

    Baada ya mpango wa kumjaribu kumfuta uanachama na kumfukuza katika chama cha mapinduzi aliyekuwa waziri mkuu mhe Edward lowassa kufeli, hatimaye Mangula, Nape na Kinana wapanga kumuongezea adhabu ya miezi kumi na mbili ili kupoteza ndoto yake ya kugombea urais wa Tanzania hapo october mwaka huu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Dar Airport among worst in Africa

    Tanzania,A promised land.
Back
Top Bottom