ni kweli usemayo na tunafanya hivyo.
ila tutajiajiri vipi na hatuna mtaji? na isitoshe serikali hata haimtambui wala kuthamini watu wenye vipaji.
na sababu ya kuweka huu uzi hapa ni kwakuwa humu muna watu wenye mawazo, fikra na nafasi mbali mbali katika jamii, watu hao ambao wapo tayari...
Habari zenu wakuu.
Mimi ni kijana, nimemaliza ngazi ya degree ya kwanza katika fani ya usimamizi wa fedha (financial admnistration in accounting), naomba msaada wa intership ili kupata experience kwa kipindi hiki.
Nina uwezo wa kutumia application kama vile Quick book na ERP, pia nina ujuzi wa...
naomba msaada kwa anaeitambua hii
REGISTRATION CRITERIA:1. ALL APPLICANTS ARE REQUIRED TO REGISTER WITH TSHS. 16,500/= ONLY - this amount should be sent to AIRTEL MONEY ACCOUNT NO: +255 783749091(RIFA CONSULTANT LTD ) BEFORE OR ON FRIDAY 09/09//2016 by 7:00 P.M- ( SAA MOJA JIONI )
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.