Natafuta Internship nina Shahada ya Financial Admnistration in Accounting

Natafuta Internship nina Shahada ya Financial Admnistration in Accounting

shekhe89

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
49
Reaction score
2
Habari zenu wakuu.

Mimi ni kijana, nimemaliza ngazi ya degree ya kwanza katika fani ya usimamizi wa fedha (financial admnistration in accounting), naomba msaada wa intership ili kupata experience kwa kipindi hiki.

Nina uwezo wa kutumia application kama vile Quick book na ERP, pia nina ujuzi wa kutumia Ms. Word na Excel.

Unaweza kuwasiliana nami kwa +255 655 663 820 or shekhe-89@hotmail.com
Ahsanteni.
 
Mkuu ukipata chance nami nishtue maana nmewaomba RAIA hapa jukwaani ila majibu yake na response yake inatia huzuni,thread za mahusiano,vijembe znapata wachangiaji vbaya mno ila sasa thread kama hiz zetu looh! Ila MUNGU ANAWAONA!
 
usijali mkuu nitakutaarifu
 
Jiajiri the government ain't ur mama .....ikupe mkopo na ajira....' Ushauri Wangu ili upate intern tembelea ofisi kwa ofisi ukiomba intern....sio kubandika tangazo jf
 
Jiajiri the government ain't ur mama .....ikupe mkopo na ajira....' Ushauri Wangu ili upate intern tembelea ofisi kwa ofisi ukiomba intern....sio kubandika tangazo jf
ni kweli usemayo na tunafanya hivyo.
ila tutajiajiri vipi na hatuna mtaji? na isitoshe serikali hata haimtambui wala kuthamini watu wenye vipaji.
na sababu ya kuweka huu uzi hapa ni kwakuwa humu muna watu wenye mawazo, fikra na nafasi mbali mbali katika jamii, watu hao ambao wapo tayari kuwasidia wenziwao katika kufikia mafanikio ya kiujumla.
asante sana.
 
Back
Top Bottom