Wana jukwaa naomba mnijuze, hivi Ilani za Vyama mbalimbali hapa nchini ni zipi? Nimebahatika kuiona Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) peke yake ila za vyama vingine sijaziona.
Mwenye nazo naomba anitumie.
Mara nyingi CCM huwa hawatumii mitandao kuonyesha nini wamefanya maana walitunzwa na wakatinzika.
Subirini muda wa majumuosho mjionee ila jitahidini tu kuwa wavumilivu.
Tutaona unenecho na nisemacho mimi nani yuko sahihi?
Ni pale utakapoyakataa matokeo wakati yanatangazwa maana umejiaminisha kitu kisichowezekana.
Acha tusubiri na tuone ndugu ila ukweli utabaki pale pale wengi wa wapiga kura niwa CCM.
CCM ndio Chama Kitakachoongoza kwa kujisombea kura za kutosha katika Uchaguzi wa mwaka huu utake au usitake lakini huu ndio ukweli ulivyo maana Watanzania wengi bado tuna Imani na CHAMA achilia mbali wachache wenye maslahi yao binafsi.
Dkt Seif Shekilage ameteuliwa leo kushika nafasi ya RAS mkoa wa Songwe akichukua nafasi ya David Kafulila na kabla ya hapo Dkt Seif Shekilage alikuwa ni DC wa Maswa.
Naomba anayejua CV ya huyu Mtu, kwao na ni Dokta wa kitu gani atujuze.
Mungu Ibariki Tanzania , Mungu Ibariki Afrika .
Rais Endelea kufanya kile unachokiona wewe ni sahihi na sisi tunakuombea kwani Wahenga walinena :
" SIRI YA MAITI AIJUA MUOSHA "
Kweli ndugu wanatia Hasira na Uchungu kweli , wamesahau wako Vijana mtaani wenye maelimu yao ila wamekosa fursa za ajira .......
CRDB iko ila DTB hakuna .
Kumezuka tabia ya baadhi ya Watumishi wachache wa mashirika ya Sekali kukosa uzalendo kwa kuhudumu vizuri katika nafasi walizoteuliwa kuzifanyia kazi .
Baadhi yao wamekuwa na Kejeli , dharau na Usumbufu kwa Wateja ambao ndio Walipa Kodi wa Taifa hili na Kodi hiyo ndio sehemu ya Mshahara wa...
Habari Wadau !
NIko Handeni - Tanga , idara ya Sekondari natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi, Yeye aje Handeni nami niende Mbozi - Songwe.
Shule niliyoko iko barabarani (barabara kuu ya Handeni to Korogwe) kutoka hapa tulipo mpaka Dar - Es - Salaam ni masaa matano tu na nauli...
IDara ipi na je, vipi kuhusu Handeni - Tanga nauli to Dar ni tsh.12,000/= , masaa matano.
KIsha kuna gari tano kwa siku zinazokwenda Dar kwa muda tofauti tofauti na hii ni kila siku .
Habari zenu Wadau!
Niko Handeni - Tanga, idara ya Sekondari.
Shule iko barabara kuu ya kwenda Korogwe (Nauli ya kwenda Korogwe ni Tsh.2,500/= (na muda wa kufika Korogwe ni nusu saa). Pia ukitaka kwenda Dar nauli ni Tsh.12,000/= kutoka Shule ilipo kwa muda masaa matano tu unawasili Ubungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.