Recent content by shefex

  1. shefex

    Forex bonus up

    Hakuna shida ni biashara kama nyingine tu ila inahitaji umakini na nidhamu
  2. shefex

    Forex bonus up

    Ni broker gani anaetoa bonus up ya $100 ukiachana na FBS kwa sasa
  3. shefex

    Mtu Mweusi [Mwafrika] sio uzao wa Adam na Hawa

    Kwahiyo mmoja kati ya hao yupi aliyekuja Africa
  4. shefex

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Mwenyezi mungu katengeneza system inafanya kazi kuna reject pindi production inaendelea na good product mwisho wa production tumefundishwa tumeelewa.
  5. shefex

    Rais Samia Walinde Watanzania Dhidi ya Mauaji ya Pikipiki

    Hata magari yanaua mjomba sio pikipiki peke yake
  6. shefex

    Rais Samia Walinde Watanzania Dhidi ya Mauaji ya Pikipiki

    Tatizo sio waendesha boda tu hata wenye magari nao wanafanya makosa Tena makubwa tu.Ila wao siku zote ni wasomi Tena mno hasa linapotokea swala la ajali pili ni ni trafiki hasa wale wanaoongoza badala ya taa niliwahi kusimama upande wa taa ambao hautoki magari mengi bahati mbaya siku hiyo...
Back
Top Bottom