Recent content by shebination

  1. shebination

    Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Kila siku nalisema hili Nyerere ndo katufikisha hapa hakutaka watanzania wajitegemee alitaka tuitegemee serikali kwa kila kitu ona sasa
  2. shebination

    Mbatia: Naomba ofisi ya Rais iseme nilienda kuomba teuzi

    anatajwa kwa sababu nae aliumiza familia nyingi
  3. shebination

    Maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Muungano, Dkt. Philip Mpango aziongoza Dodoma

    Hata mei mosi anaweza asiwepo maana watumishi wanamsubiri sana anaweza ishia huko huko pole watumishi
  4. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Kumbe KATIBA iliyopo ndo imesababisha watumishi wengi awajapandishwa na wachache io io katiba imewapandisha daaaah mchengelwa nisamehe
  5. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Mkuu katafute utazipata pia nilichoandika nina ushahidi nacho asee watu wanaumia halafu unaandika hivi kweli mkuu
  6. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Si wachache mkuu idadi ya vilio ni kubwa mno wengi sana wamekutana na hewa
  7. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Tatizo sio wabongo mkuu waziri ndiyo alitoa tamko hilo bwana mchengelwa lakini mambo yamekuw tofauti asee
  8. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Vilio vyatanda kila kona mkuu karibu nchi zima watumishi wanalia yaani
  9. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Kipi ujaelewa mkuu kaa usome vizuri idadi kubwa ya wanaostahili kupanda wamekuta mambo tofauti sasa hapo ujaelewa kipi au we ndo mchengelwa nini unajibu thread kiaina
  10. shebination

    Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

    Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
  11. shebination

    Ajira 5000 za Hayati Magufuli zimepotea, ajira 6,000 za Rais Samia hazieleweki. Sasa hivi tunazungumzia ajira 12,000 bajeti ijayo

    Utaajiri bila bajeti mkuu achana na wanasiasa wanaongea kutafuta kupendwa ila kwa ground mambo tofauti serikali aijatenga bajeti utaajiri alafu uwalipe nini
  12. shebination

    Sioni sauti ya Watumishi wa Umma katika Bunge lijalo

    Ili iweje yaani achana nao hao Watumishi awana maana si wamepitisha wao sasa yanini kuangaika nao
Back
Top Bottom