Gas ni rahisi zaidi kuliko umeme. Gas ya 50,000/= inatosha kwa mwezi lakini kwa umeme utatumia zaidi ya 100,000/= kwa mwezi. Nazungumzia hivyo kwa mtu asiyetumia mkaa kabisa yaani jiko hilo unapikia maragwe na makande. samahani kama wewe thio mpare
Hiyo ya marching guy si kweli. Hii ya marching guy ilizushwa na vijana wa mjini kutokana na wimbo wa Ace of Base All that she wants ambako vijana wa mjini waliianza kuimba oooh matching guy badala ya all that she wants. Hivyo maana sahihi ni kabila la wamachinga ndo walianza biashara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.