Recent content by Shayu

 1. Shayu

  Bila itikadi Imara CCM haing'oki

  Okay. Mimi binafsi sidhani. Nina sababu. Natafuta muda nielezee kuhusu hili. Siamini kama Afrika iko nyuma kimaendelee na katika masuala ya utawala bora sababu katiba zao ni mbovu. Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 2. Shayu

  Bila itikadi Imara CCM haing'oki

  Unaamini kwamba mambo ambayo mnatumaini mtayapata baada ya kuandika katiba mpya? Mnaamini kwamba Tanzania mpya itakuja mara baada ya katiba mpya? Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 3. Shayu

  Bila itikadi Imara CCM haing'oki

  Kwanini tunataka kuiondosha CCM ? Hili ni swali ambalo napenda kujiuliza na pengine wananchi Wengine makini wangependa kueleweshwa hadi kuelewa pasipo kuweka propaganda zisizo na maana, Ili watu makini waweze kujitolea maisha yao kwa ajili ya jambo fulani ambalo lenye maslahi kwa taifa...
 4. Shayu

  Kiongozi vs Mtawala

  Kitabu kiu ya uzalendo unaweza kupata fikra zangu zaidi humo. Ukikihitaji wasiliana nami kwa namba 0736364442
 5. Shayu

  Tutakuwa tunakosea kama tutampeleka mtu Ikulu kisa ni mwanamke au mwanaume

  Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna tunachopanda. Mawazo yetu na fikra zetu ni mbegu. Na mwelekeo wa fikra zetu ndio utakaoamua destiny...
 6. Shayu

  We must always let this truth sink deep in our consciousness

  We must always remember this truth, we must always let this truth sink deep in our consciousness; We will build our nation according to our own thinking, it depend on standard of our thoughts. Nothing more nothing less. Either we are fool or wise, intelligent or not. We will build our country...
 7. Shayu

  Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu

  Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu, Wingi wa polisi katika nchi ni ishara ya amani ndogo zaidi, level za ukosefu wa amani zinatofautiana, Wenye amani hawahitaji polisi na mahakama. Amani tuliyonayo inayolindwa kwa...
 8. Shayu

  Ukosefu wa upendo chanzo ukosefu wa amani na si ukosefu wa haki

  Hakuna amani pasipo upendo. Upendo ni mama wa amani kama watu wanataka amani, wajifunze kupenda. Upendo haudhuru unalinda. Ukosefu wa upendo husababisha vurugu na fujo duniani. Upendo huheshimu wengine. Ni ukosefu wa upendo sio haki ndio hupoteza amani. Kwahiyo dunia lazima ifikirie mara mbili...
 9. Shayu

  Tunahitaji viongozi wenye maono

  Maarifa yanapaswa kutafutwa popote na kutumiwa kwa manufaa ya nchi.
 10. Shayu

  Why we are a Nation?

  So we unataka watu waishije? Do you think watu wanaweza kuishi bila serikali au kuwa na serikali moja ya dunia ukizingatia ana tamaduni, mila na desturi tofauti?
 11. Shayu

  Dhana ya umaskini

  Kiasili hakuna kitu kinachoitwa umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa. Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini. Ni sawa sawa na kusema kwamba kuna pundamilia maskini, simba maskini au kondoo maskini. Lakini kwakuwa binadamu anafikiri...
 12. Shayu

  Why we are a Nation?

  Kwanini unasema ni ubatili mtupu? Aina za maisha na njia za maisha watu wanazotaka kuchukua ndio huwatenga. Naamini hakuna ukuaji bila utaifa na uzalendo. maendeleo ya watu binafsi yamepatikana sababu ya watu kuishi kwenye mataifa.
 13. Shayu

  Kuendelea kwa taifa lolote ni kujitegemea kwake, huwezi kujitawala kama hujitegemei

  Watu wanaana kwanza kwa kufanya kazi ili wapate capital, Capital ni product of work. Hii misaada na mikopo tunayoshangilia watu walifanya kazi na kupata surplus ya kutosha. Na surplus ndio huleta maendeleo kwasababu ndio hiyo hufanya watu wa invest zaidi. Kama hatuzalishi zaidi kama taifa...
 14. Shayu

  Tunahitaji viongozi wenye maono

  Swali jingine muhimu ambalo linaweza kuwa mwongozo ni kujua kwanini tunaelimisha watu wetu, Kama lile swali la mwanzo nililouliza kwanini sisi ni taifa? Ni swali la kimsingi katika kutengeneza agenda ya nchi. Kwanini sisi ni taifa? tuko pamoja kwa malengo gani? We must define ourselves to...
 15. Shayu

  Why we are a Nation?

  This is the soul searching question Why we are a nation? And we come together for what purpose? And do we fulfil that purpose? Or we become a nation accidentally and we need to search for our purpose? Is our purpose is to eliminate poverty? Ikiondoka je uwepo wetu umeondoka?
Top Bottom