Recent content by SHAXZ

  1. S

    JamiiForums PSPF wamejuaje kuwa Nimelamba Ajira naona SMS zao wananitumia wakinishawishi nijiunge nao.

    Mimi pia nimelamba ajira zile 400 sasa jana nikashangaa wamenitumia sms kama hyo yako
  2. S

    JamiiForums Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

    Hilo nalo neno mkuu
  3. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Lakini hivi nawezaje kujua kuwa kwa sasa lift iko juu au chini,kuna alama zipi zinaonyesha kuwa juu au chini?
  4. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Duuu hili kumbe somo si la mchezo
  5. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Nashukuru sana kwa maelezo yako ubarikiwe sana.Bado nilikuwa nasumbuliwa na kupanda na kushuka elimu ya awali hizo za msingi mtaendelea kunijuza wakt ntakapokuwa nimeweza kutumia lift.
  6. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    U UMETISHA NDUGU,I APPRECIATE YOUR PRESENTATION!!
  7. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Vipi kama umeingia na kukuta mwenzio kabonyeza batani Na 4 ninamaana anaenda ghorofa Na 4 na wewe ukaingia na kubonyeza namba 6,itakuwa sawa au unasubiri hadi akafike na wewe ndo ubonyeze?
  8. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Nashukuru,ndo hvyo wengine wanaona kama natania lakini tunaishi mazingira tofauti sana jamani.
  9. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    A Asante sana mkuu Mungu akubariki sana.
  10. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Nimekuelewa sana ndugu,ubarikiwe sana.
  11. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Daaa nashukuru sana ndugu,kwahyo kunakuwa na kimshale cha juu na chini sio ndugu?,ndo hivyo utabonyeza?
  12. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    nd Ndio ndugu,tena wana maneno hawo,utasikia wa shamba huyo!.Ni kweli wa shamba lakn itaniumiza sana ndomaana nimeleta humu wana jf wenye busara.
  13. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    NA Nashukuru sana,lakn kabla ya kuingia humo naanzaje yaani?
  14. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    d Duuu hapa sasa niwe tayari kupata majibu ya kweli na uongo pia.
  15. S

    JamiiForums Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

    Ndugu tutazipandia wapi tukikupa historia zetu utakaa chini uanze kulia kwa kutuonea huruma,saidia ndugu basi.
Back
Top Bottom