Recent content by shavada

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuolewa

    Mbali ni wapi?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

    As Asante
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

    Naomba namba yako ili tuwasiliane
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

    Heshima ni kitu cha bure, fungua Uzi wako uongee hizo habari za Dr. Shika
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

    Nimeshindwa kuliweka hapa tatizo nililonalo naombeni tu nisaidiwe kumpata huyo mtaalamu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mtaalamu wa saikolojia

    Natumaini wote ni wazima humu ndani. Nina tatizo hivyo nahitaji kumuona mtaalamu wa mambo ya saikolojia au kuunganishwa na mwanasaikolojia yeyote ila nikimpata aliyopo mbeya nitafurahi zaidi. Nawatakieni usiku mwema
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Hapo na mimi ni singo mother lakini huu Uzi umenichekesha sana, sijui mtoa mada umefikiria nini kutunga uongo kama huu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, namna ya kumsahau mume wangu aliyefariki

    Nawashukuru sana wote mlionishauri na watakaoenelea kunishauri ushauri wote nitaufanyia kazi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, namna ya kumsahau mume wangu aliyefariki

    Naombeni ushauri namna ya kuepukana na hili tatizo, Mume wangu alipata ajali na kufariki mwanzoni mwa mwaka huu huku akiniacha nikiwa na ujauzito wa miezi miwili, tangu kitokee kifo cha mume wangu nimekuwa na msongo wa mawazo, nimekuwa nikikosa usingizi muda mwingi usiku nakuwa macho, muda wote...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madhara kwa mjamzito kutosex je kutamfanya njia kutofunguka?

    Sio kweli kabisa, mfano ni Mimi Mme Wangu alifariki nikiwa na mimba ya miezi miwili na nimejifungua salama
Back
Top Bottom