Ebana naona vitabu vingi sasa hivi wameviweka kibiashara zaidi mpaka ununue online ndio uweze kuvidownload usome...kipindi cha nyuma haikuwa hivi, tulijisomea vizuri tu bila kulipia but now it's business
Mi mwenyewe nilikuwa kama nyinyi baada ya kusoma huu uzi ulinishika sana so nikawa ni miongoni mwa waliokuwa wanasubiri mwendelezo..basi ikawa ni kila siku tunamtag kuulizia mwendelezo lakini jamaa alikuwa kimya, tukazama PM lakini jamaa kimya ndio mpaka leo, lakini mm sikukata tamaa nikaendelea...
Kuna mtu alishaandika hapa kuwa hii dunia ni kama jela yani tupo kifungoni that's why wazee wa flat earth's wanasema kuna firnament ambayo no one can get outside world..naomba tujitaidi kusoma jamani
Huyu jamaa hawezi kuiendeleza hii maada coz ameicopy toka sehemu na alipoishia ndio hata kule ilipoishia nishaona sehemu kipindi nasoma sana so naona wengi mnaomba mwendelezo ambao yeye hawezi kuendeleza coz alicopy the whole story so hapo ndio mwisho wa kucopy coz story haikuendelea zaidi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.