Kiukweli kwanza nikupongeze kwa kulitoa hili ambalo wengi tumekuwa tukiumia na kukerwa nalo lakini bado tukakaa kimya pasipo kulisemea .
Lakini pia nikuunge mkono bei hizi haziendani na huduma inayotolewa.kifupi tunalazimishwa na mbaya zaidi mabasi mengi mnapewa na muda mfupi kupata huduma hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.