Khabari ndugu zangu wana bodi.
Kichwa cha khabari cha husika.
Nina ulemavu wa miguu nilio upata kwa ajali.Nime fanyiwa upasuaji mara 2 lakini bado yana hitajika matibabu mengi ya garama ila bahti mbaya khali yangu ni duni sana.
Anaye jua tahasisi au sehemu nina weza kupata msaada wa matibabu...
Karibu vikindu Seran.Mie mwenyewe ntakupambania upate eneo mujaraba bila kadhia za madalali.
Matani kando.Huko nyie mwaishi sie huku twaishia.Sidhani kama sehemu ya chumba laki 2 kuna kadhia za njia kama huku vichochoroni kwetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.