Kama viti maalum vyote 10 vimejaa Rais anaweza akamteua mbunge yeyote kutoka viti maalum kuwa balozi kisha akamteua mtanzania mwingine yeyote kuwa mbunge akampa uwaziri.
Hata hivyo katika hao wawili uliowataja hakuna afaaye hata mmoja kuwa waziri wa fedha heri hata ungenipendekeza mimi.
Area 51 si eneo la kusadikika lipo, na hapa ndiko kunakofanyika ugunduzi na majaribio ya ajabu na ya kutisha mno katika dunia hii. Area 51 ndiko kulikobuniwa kwa mara ya kwanza utengenezaji wa virusi vya ukimwi, na kila kinachofanyika mahali hapo hufanywa chini ya approval ya Rais 100%
Hivi huna habari kwamba hata CCM inayofuga mafisadi hawamtaki Lowassa? sembuse UKAWA? Huko wanamwona kama Kubwa-jinga wanakula tu pesa yake akidondoshwa hao .....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.