Recent content by Shararizo

  1. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Tupeane update za HESLB Loan Application 2021/2022

    Hivi ku appeal loan ni lazima kwanza ulipe 25% ya mkopo uliopata? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Maneno aliyotumia sio mazuri kiukweli, tukiweka politics aside. Ila kwakuwa kaomba radhi, yapasa kusamehe na kusonga mbele Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Kabisa, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Yan we bwana hujiamini kabisa, kama shida inakufanya uwe muoga hivyo hata mkuu wa shule si atakupeleka sana, Nawaza tu
  5. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Mzee, usiumize kichwa na hizi story ambazo ni ngumu kuzithibitisha. Kikubwa subira tu na sio maneno
  6. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Ajira bomba la mafuta kutoka Ohima- Uganda mpaka Chongoleani-Tanga

    Itategemea ni ajira inayohitaji professional au power (unskilled) Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Ajira bomba la mafuta kutoka Ohima- Uganda mpaka Chongoleani-Tanga

    Same story ilikuwa 2018, hebu tuone baada ya uchaguzi
  8. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Ajira bomba la mafuta kutoka Ohima- Uganda mpaka Chongoleani-Tanga

    Hii sekta ya mafuta na gesi asilia kwa hii miaka mitano imefeli sana
  9. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Ajira bomba la mafuta kutoka Ohima- Uganda mpaka Chongoleani-Tanga

    Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu Rais wa Uganda Yoweri museveni na Rais wa Tanzania John Magufuli kusain makubaliano ya ujenzi wa bomba la mafuta katika nchi hizi mbili. Swali ni je, ujenzi utaanza lini? maana tuliambiwa kuna ajira zaid ya elf 10 na vijana wengi wamekaa mkao wa kula kusubir...
  10. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Mbona mnajipa presha sana walimu; subira ndio muhimu, hiv scandal zinaweza haribu plan zingine
  11. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kuhusu hili la usaili wa zoezi la uchaguzi

    Duuuu, hebu kesho niende ofis ya kata uku Dodoma. Unaweza kuta wanaita watu uko kwa interview
  12. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kuhusu hili la usaili wa zoezi la uchaguzi

    Asee umepigiwa simu au sms au wametoa matangazo tu ofisi ya kata?
  13. Shararizo

    JamiiForums Tanzania Usimamizi siku ya uchaguzi - maswali na maelekezo

    Labda ndio kupita bila kupingwa, subira ni muhimu
Back
Top Bottom