Habari za muda huu wakuu,
Ninaomba msaada juu ya jinsi ya kuandika:
Muhtasari wa kikao cha familia ulioshirikisha wanandugu wasiopungua saba pamoja na nakala za vitambulisho vyao.
Kiapo cha mahakama.
Muhtasari wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Kata ikithibitisha kutokea kwa kifo.
Naombeni...
Nilikuwa nahitaj kuanza kujifunza kupitia kwa wenzang coz kuna vitu nataka niitengenez lkn vinahitaj elimu na pia kuna vitu kama java,programming natak nijifunze kupitia humu
Wakuu mm nmeapply chuo kwenda kusomea computing and communication technology so nahitaj msaada wa kuiyelewa it nahitaj kujifunza ndan ya hii app ya jamii forum ilinikifik chuo niwe na jielewa wa kutosha msaada juu ya hili wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.