Mwambie wife unasikia hali ya hewa hapa ndani sio nzuri kama kunakaharufu fulani hivi,embu nenda kaangalie huko ndani kwa dada kama pako sawa,angalia huko chini ya mvungu hata godoro nyanyua ndio nahizo soksi ataziona na vitu vingine,tena ukiona hachukuli serious mnyanyue nakumwambia ebu twende...
Mmezidi kilalamika sana wanachi kila analofanya rais wenu si jema,mnasifia vya nje tu angeongea paul kagame wa rwanda msinge lalamika,mngeona ameongea point,tumeshafanya maamuzi kesho ni magufuli tu mmezidi na propaganda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.