Recent content by Shangchi

  1. Shangchi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😅😅😅dah
  2. Shangchi

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Chanika nguvu kazi

    Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku) Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani Urefu 70 upana 35 Bei ni 4.5 milion Hati bado haijalipiwa 0786180342 Note:mimi sio dalali bali mwanafamilia
  3. Shangchi

    Nahitaji kusoma CPA

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini? (I.e kusoma foundation 4 months)...
  4. Shangchi

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana mwenye miaka 24 natafua kazi ya kufundisha shule ya sekondari.Nmegraduate mwaka jana kwny fani ya ualimu(bach.degree of Education in Economics na Mathematics),ninauzoefu wa kufundisha O level wakat wa field na baada ya field.Naishi Dar es salaam,Tabata kimanga kwa mawasiliano...
Back
Top Bottom