Shangchi
Member
- Feb 5, 2017
- 6
- 6
Mimi ni kijana mwenye miaka 24 natafua kazi ya kufundisha shule ya sekondari.Nmegraduate mwaka jana kwny fani ya ualimu(bach.degree of Education in Economics na Mathematics),ninauzoefu wa kufundisha O level wakat wa field na baada ya field.Naishi Dar es salaam,Tabata kimanga kwa mawasiliano zaidi 0766-711342,tgo 0678-307398