Mimi ninachojiuliza ni kuhusu pale Kenya, vp endapo wakirudia uchaguzi na matokeo yakawa ni yale yale na dosari zikawa zilezile! !!!
(which is most likely gonna happen)
sent from servant of God
wewe njoo kwa Yesu upate WOKOVU bro! Uzima wa milele unapatikana kwa Yesu bure.
Njoo kabla mlango wa neema haujafungwa.
Hayo mengine ni mbwembwe tu za akili. (Illusions)
sent from servant of God
All spiritual concerns are beyond logic!
Logic depends on mind power. "Soul uses mind just as a tool and cannot be guided by it"
Wayunani (Wagiriki) walidhani mambo ya Mungu yanajulikana kwa njia ya uwezo wa akili, matokeo yake waliishia kuabudu miungu
sent from servant of God
Kama ni kweli umesoma maandiko Matakatifu na kuyakosoa, basi ujue wewe ni mtoto wa Ibilisi. NI Ibilisi pekee awezaye kukosoa Neno la Mungu. Ibilisi huenda kinyume na Mungu tangu awali
sent from servant of God
Nimesadiki, tena nimejua kupitia Neno la Mungu (Biblia)
Inaonekana wewe huwa husomi Maandiko Matakatifu ndio maana unapinga Injili ya Bwana Yesu kuhubiriwa.
sent from servant of God
Bwana Yesu mwenyewe alikuwa akihubiri Injili mchana na usiku ! Tena kuna wakati alipiga siku tatu mfululizo nonstop!!!
Injili ni ya maana kuliko huo usingizi wako. INJILI NDIO INAYOLETA UZIMA WA MILELE.
sent from servant of God
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.