Recent content by Shamsa Hussein

  1. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Dah kwa makadirio huyo Sembeyu alisoma huko tengeru mwaka gani?
  2. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Hatumii kilevi chchte
  3. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Ni sawa lakini miaka mingi tangu nianze kujitambua nmekuwa nikifanya hvyo bilaa mafanikio, pili hakuna ndugu yyte upande wangu anayeonessha kuijua au kushirikiana na mimi katika hili
  4. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Nashukuru sna nitaufanyia kazi huu ushauri wako..na kurudisha feedback
  5. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Ok thanks... ntashukuru sana utanichek kwa hiyo inayoishia 602 ndo nimetoka nayo
  6. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Baba sina taarifa zake hizo nilizoandika ndo pekee nimebahatika kuzipata
  7. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Asante Dominica
  8. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Honestly...cjawahi pata details khs yy alikuwa anafny shughuli gn zaid ya hzo hapo
  9. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    ni vp umehisi kuwa mm ni mbondei wa muheza?
  10. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Mimi pia sijajua pia hiyo taarifa ya majina yake hakuwahi kunipa mama yangu ni udadisi wangu tu mimi mwenyewe
  11. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    kuna muda nahisi kuna kitu nafichwa kitu sasa ni mtu mzima nahitaji kufahamu ukweli ambao najua siwezi upata kwa mama zangu maana ni kipindi kirefu nimekuwa nikiungoja na kuutafuta
  12. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    hapana mkwara kuna kuna muda mtu anaweza fanya jokes while nipo serious kwenye hili kaka@Mitha
  13. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Hayupo tayari kuniweka wazi kuhusu hili swala sasa sielewi ni kwann ndo nimefikia maamuzi haya ya kuomba msaada wa taarifa kuhusu yeye
  14. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Kifungu gani?@ Mitha
  15. S

    Msaada: Namtafuta Baba yangu

    Habari wana-JamiiForums? Kwa jina naitwa Shamsa namtafuta baba yangu mzazi ambaye tulipotezana miaka 23 iliyopita sikuwahi bahatika kumfahamu wala kuikariri sure yake sababu aliondoka ningali bado mdogo sana. Kwa taarifa nilizozipata juu juu baba huyo alikuwa akifahamika kwa jina la "Abbas...
Back
Top Bottom