Recent content by shampondo shila

  1. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    kifo ni fumbo
  2. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nikiwa nafanya mafundisho ya ubatizo kanisa lipo pugu kuna mtoto anaitwa ester akawa amenielewa kinoma ile mbaya. Sasa siku naondoka kurudi nyumbani Singida akaniomba tuonane, alhamisi tukaingia kanisani tukasali tukatoka mida ya saa 12 jioni nikamsindikiza maeneo ya kwao kuelekea Pugu Mnadani...
  3. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimuuliza mtu yeyote kama yeye ni wa motoni au wa peponi, anakujibu hajui

    Kwa mtazomo wangu najua kila mtu anajua yeye ni wa motoni au wa peponi. Kwasababu unaposema hujui wew utaenda wapi maana yake huyatambui mema na mabaya Asanteni. Nawasilisha
  4. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Ni kituo gani cha daladala ukipandia gari hasa siku za kazi huwezi kupata siti kuanzia saa 10 jioni

    Banana kwenda masaki hiyo sahau kupata siti
  5. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Superbrand Afrika Mashariki mnakwama wapi?

    Kwanza kabisa kale kameza pale kuna siku mtu ataanguka mbele ya kamera namaanisha chumba cha kusomea habari ni kidogo geto langu kubwa Yaana hata kuna baadhi ya sebule za watu wa kawaida zinawazidi kwa ubora chumba cha kusomea habari sijui kina miaka mingapi hakibadilishwi muonekano. Cha...
  6. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Chupuchupu nimezwe na maji Coco Beach!

    Habari za humu wanajukwaa, natumai hamjambo wote. Kisa changu kipo hivi Mimi wakati huo nilikuwa naweza tu kuogelea umbali kama mita 3 tu napumzika, sasa siku ya kati kati ya wiki nikaenda zangu coco. Kupun ga upepo nikafika nikakodisha boya kwa buku nikaingia zangu kwenye maji kuogelea, kwa...
  7. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Niliyemuua ni mtoto wa paka paka mkubwa hana shida yeye ni mpole
  8. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Mko wangapi kwenye familia yenu mnaetumia mitandao ya kijamii?

    Katika familia yangu tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia FB, WhatsApp, Jamii Forums na kathalika, je kwenu mpo wangapi wa familia moja?
  9. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mnajifanya hamli kiporo cha ugali ila wali mnakula

    Unakuta mtu anasema eti halagi viporo ila cha ubwbwa anakula
  10. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Sawa mkuu nimekuelewa
  11. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
  12. shampondo shila

    JamiiForums Tanzania Ulitumia njia gani kumkwepa mtu aliyetaka kuzidisha mazoea na wewe?

    Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi, Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa. Mada yangu kama inavyosema hapo juu, Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka, Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku...
Back
Top Bottom