Recent content by Shamioli

  1. S

    Mada moto: Mafuriko Jangwani, nini kingefanyika au nini kifanyike sasa?

    Naunga mkono wazo la kutengeneza daraja toka Fire hadi Magomeni. Ifanyike Feasibility study, resources ziwe mobilized na utekelezaji ufanywe.Tatizo la Jangwani litakuwa historia. Angalizo: Transparency ktk. Kila hatua iwepo na usimamizi uwe madhubuti ili quality ya daraja iwe 100 percent.
  2. S

    TANZIA: Mama mzazi wa Mh. Mrisho Gambo amefariki dunia akiwa India kwa matibabu

    R.I.P Mama Gambo. Mungu awape wepesi familia na ukoo wa akina Gambo ktk.kipindi hiki kigumu. Bwana ametoa na Bw. ametwaa Jina lake lihimidiwe.Amen
  3. S

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Mungu akutie Nguvu. Soma zaburi ya 23. Nakushauri uingie google usome tiba ya cancer kwa kutumia majani mti wa stafeli. Kuna literature ya kufaa sana. Kama utahitaji Msaada zaidi piga simu 0766805757.Mungu akubariki.
  4. S

    Tuna utaalamu wa kuandaa maandiko ya miradi

    Kama unahitaji ufafanuzi tumetoa contact yetu tafadhali wasiliana nasi. Tutakuwa tayari kukupa details.
  5. S

    Hospital gani Dar nzuri kupima afya! Kwa kutumia bima ya afya NHIF?

    Pale wana utaratibu wa namba , so queing theory is a world wide phenomena. Dont worry.
  6. S

    Hospital gani Dar nzuri kupima afya! Kwa kutumia bima ya afya NHIF?

    Nenda Regency Hospital wana maabara ya kisasa na qualified & efficient manpower na wanapokea card za bima za afya.Ipo karibu na jengo la umoja wa vijana au adjacent na Agakhan Secondary School.
  7. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kutokea Tegeta kwa Ndevu unashuka na barabara kupitia kituo cha polisi then uliza Ladi Hoteli then trace ile sehemu ya tatizo from Ladi Hotel. My nr. 0766805757. Actully mimi ni mpitanjia na siyo mteja. Na kwa vile nimeiona hiyo hatari nikaona ni busara kutoa taarifa Tanesco.
  8. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TAARIFA : Kuna nguzo imeinama na Nyaya za umeme zipo chini sana usawa wa kichwa cha mtu mfupi na ni hatari kwa jamii. Eneo lenyewe ni Tegeta karibu na Ladi Hoteli.
  9. S

    Tuna utaalamu wa kuandaa maandiko ya miradi

    Tuna utaalamu wa kuandaa maandiko ya miradi (feasibility studies/business plans) kwa ubora wa hali ya juu. Kama unahitaji contact 0766805757.
  10. S

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Characteristics of underdeveloped economies:We consume what we don't produce and produce what we don't consume.
  11. S

    Project maalumu kuinua uchumi wa watanzania,Weka wazo lako la mradi hapa na ueleze umekwama wapi utafutiwe co-investor

    Nina motor vehicle auto garage ambayo ni operational na ipo housed ktk eneo langu la ukubwa karibu ekari 2. Lengo ni kuiboresha kwa kuongeza mashine na tools zingine. Skilled labour ipo. Je naweza pata interested partner? Feasibility study niliandaa mwenyewe kwa kuwa mie ni economist.
  12. S

    Mchungaji awalambisha viatu waumini wake Ili wapate baraka za miujiza

    Hao waumini wamekuwa brain/heart washed hadi hadi kuwa mazuzu. Mungu awazindue.
Back
Top Bottom