Recent content by Shambaman1

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Ww uliyeandika hii mada ni mhuni huna nia njema na nchi na wala huna nidhamu kabisa umeandika ujinga tu hapa
  2. S

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Iyo haina shida kabisa kwa kuwa umewai PEP upo safe kabisa usiwe na wasi ata kidogo
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahitimu wa Cuba naombeni msaada wenu tafadhali

    Bro hapo ni wazi anaenda kuliwa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

    Lakini KM na RAS si ni rank moja how come unasema ameshushwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa za warts

    Tumia Doxycycline
  6. S

    JamiiForums Tanzania Aliyefukuzwa TRC kubadilishiwa Mashtaka?

    Uyo jamaa amejitakia mwenyewe yaliyomkuta hakutumia busara kabisa maana yeye ni mtumishi wa Serikali sasa inakuaje anaanza kuikosoa tena ngoja apate adabu iwe fundisho
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Mwanajeshi anaweza kuwa mkuu wa polisi na mifano ipo kuna nchi nyingi tu ambazo wanajeshi wameenda kuwa wakuu wa polisi
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe na Rwanda mchezo huu unapendwa!

    Njoo pm unipe madini vizuri
  9. S

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya Kipelelezi: Hatari

    Haswaa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya Kipelelezi: Hatari

    Hadithi nzuri sana tunasubiri muendelezo wake
Back
Top Bottom