Recent content by shamba la bibi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya BABA na MAMA nani bora zaidi

    hii issue iko very personal!kwa sababu moja kubwa kwamba kunavitu vingi vinatokea wakati mtoto hayupo(yaani ikiwa mimba)mfano:mimi nina mke na mtoto mmoja mtoto anampenda sana mama yake kwa sababu wako wote muda mwingi sana na mimi muda mwingi nawaza pesa ili nikirudi nyumbani wife na mtoto...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mawazo yako ni muhimu sana juu ya hili ndugu mdau!

    imani yako inaweza kukuponya au kukuangamiza kabisa!fanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kutoa maamuzi!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nina vigezo vyote

    jane nadhani huko sahihi kusema unavigezo vyote coz hivyo vigezo umevipa kiwango gani?mie ni mwanaume sema nadhani inapotokea ninataka mchumba nitamtafuta tunaeendana kitabia,mtazamo na anayekubali kukosolewa,inawezekana kabisa jeni ukawa unakuwa pamoja na watu ambao hawako tayari kuwa na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutalijibu hili siku ikifika . . .!!

    niko pamoja na wewe kwa misingi kwamba umefanya research ya kutosha that why unatoa point na evidence hongera!siwezi kusema zaidi by this time!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini kaka zangu wa kitanzania mnawaogopa sana shemeji zenu wa kizungu

    unajua ile dhambi ya ubaguzi waliyoanzisha ndo inatufanya sometime tuwe negative
  6. S

    JamiiForums Tanzania shamba la bibi

    halo halo wapendwa!am da new kama!!!!
Back
Top Bottom