Recent content by shalua mpanda

  1. S

    Mwenye link ya video ya Beyonce Ft Jayz-Drunk in love

    Tunatofautiana uelewa!Nashukuru kwa wale walionielewa.
  2. S

    Mwenye link ya video ya Beyonce Ft Jayz-Drunk in love

    Habari ya jioni waheshimiwa wa bunge wa bunge hili takatifu la JF.Mwenye hiyo link tajwa naomba aiachie hapahapa.Naomba kuwasilisha!
  3. S

    Tabia gani ambazo hupendi ukiwa kwenye daladala au basi la abiria?

    Wadau tushirikiane kwenye hili Kueleza kero au usumbufu tunaoupata tukiwa kwenye vyombo hivi vya usafiri. 1:Abiria kuongea na simu huku ameweka loud speaker ili hali akijua kila mtu anasikia mazungumzo yake.
  4. S

    Dar: Mamba auliwa maeneo ya Kinondoni - Morocco eneo la THT zamani

    Hawa ndo walewale!Kwani unapoambiwa jihadhari kabla ya hatari maana yake nini?Nani anayejua kwenye akili ya huyo mamba alikuwa anafikiria nini?Au mlitaka ajeruhi au kuua watu halafu muunde tume ya uchunguzi mpige hela?Na ndio maana zimetengenezwa silaha za kujilinda!
  5. S

    Mlipuko wa mabomu Mombasa

    Dah!Utumwa hautaisha kwa mfumo huu!Yaani mtu anajikaza kuandika lugha za watu mpaka anaandika vitu vya ajabu ajabu.Mimi naamini ukitumia lugha unayoijua zaidi inakufanya uwe huru zaidi na kufikiri kwa mapana zaidi.Najua anajifunza lugha ngeni lakini hapa si mahala pake.Yote kwa yote poleni ndugu...
  6. S

    Hivi unakumbuka katuni za Chakubanga?

    Kama kumbukumbu zangu zitakuwa nzuri ilikuwa miaka ya 80 hivi kulikuwa na katuni kwenye magazeti ya mzalendo na uhuru ilikuwa inaitwa Chakubanga,leo nimeikumbuka sana hii kitu!
  7. S

    Ajali mbaya kati ya gari ya magereza na lori

    Ajali mbaya imetokea muda mfupi uliopita maeneo ya Mkenge wilaya ya Mkuranga kati ya gari ya magereza iliyobeba mfungwa ikitokea Kimanzichana kuja Mkuranga mjini,askari magereza watatu wamefariki dunia na mfungwa mmoja amefariki pia.Chanzo cha ajali ni dereva wa gari ya magereza kuhama eneo lake...
  8. S

    Tukio la ujambazi Kinondoni Morocco, Majambazi wapora fuko la pesa

    Gari alikuwa anaendesha mswahili na mchina alikimbizwa hospitali.Polisi walifika pale baada ya dkk km 10 au 15 hivi.Lkn inawezekana dereva anahusika maana wakati jamaa anachezea kichapo,yeye aliteremka na kukimbia pembeni mpk jamaa walipoondoka ndo akarudi kumsaidia bosi wake.
  9. S

    Tukio la ujambazi Kinondoni Morocco, Majambazi wapora fuko la pesa

    Wakati tukio linatokea,kuna polisi mmoja alikuwa ng'ambo ya barabara,wakati risasi zinapigwa alijificha chini karibu na mtaro.Hakuwa na silaha.Cha kushangaza tukio lile lilichukua takribani dkk 3 hivi na kituo cha polisi kipo kama mita mia moja hivi.Ilipigwa risasi ya kwny kioo baadae akapigwa...
  10. S

    Tukio la ujambazi Kinondoni Morocco, Majambazi wapora fuko la pesa

    Wameondoka na kibegi kinachosadikiwa kuwa na pesa.
  11. S

    Tukio la ujambazi Kinondoni Morocco, Majambazi wapora fuko la pesa

    Ukweli ni kwamba jamaa walikuwa kwenye pikipiki,mimi nilishuhudia kabisa tukio,na jamaa aliyepigwa risasi ni mchina,alipigwa risasi kama nne hivi kwenye paja.
  12. S

    Clouds Fm ina nini?

    Clouds Fanya Mizaha(F.M)
  13. S

    Mwenye kujua sababu!

    Hata mimi nilikuwa nimekaa sehemu kuna baa na nje kuna huo mti,akadondoka nyoka wa kijani.So si kweli kwamba huo mti wadudu au nyoka hawakai.
Back
Top Bottom