Recent content by ShalomP

  1. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

    Pole sanaaa Best,ni kweli mwanaume akiwa Hana pesa mnapoanzisha mahusiano anakuwa na upendo wa kweli Tena wa agape.Mnaweza mkaanza chini siku mnapoinuka kimafanikio kiuchumi baadhi ya wanaume huanza kubadilisha na kumsahau yule waliyepambana naye katika kuyatafuta mafanikio.Ni kweli inaumiza...
  2. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke kanipeleka Police, ndo natoka mida hii!!

    Usiwakatishe tamaa ambao hawajaoa pia usiwazibie ridhiki ambao hawajaolewa.Kila mmoja Yuko na tabia yake tabia hazifanani usiwatishe vijana ambao wamepanga kuoa au kuolewa.Sema wa kwako ulitakiwa umuwahi polisi wewe kuripoti kabla ya kutangulia yeye ulipofeli ni wewe kumuadhibu kwa viboko ndio...
  3. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Daaah hatari Sana mpaka mabango,Huyu jamaa anahitaji ushauri wa kisaikolojia Wala sio kutumia nguvu.Ukiona mpaka ameandika hivyo kwenye bajaji ujue ameshindwa kuliweka moyoni Tena amevurugwa kwelikweli wataalamu wa saikolojia kazi kwenu sasa.Hivi kwa nini baadhi ya wazazi mnapenda kuingilia...
  4. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kifuani nina mzigo wa hasira na kisasi, mgoni wangu kuwa makini

    Tuliza hasira usije ukaishia jera kwa kulipiza kisasi.watoto bado wanakutegemea hawana hatia yeyote.Hebu jaribu kusamehe na kusahau Kama ni mke utampata mwingine aliye mwema kwako ambaye atakuwa tayari kuyafuta machozi yako.Watafute watumishi wa Mungu waaminifu wanaomwabudu Mungu kwa roho na...
  5. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

    Mwanamke akikudhidi kipato mwanaume utageuka kuwa mpishi wa nyumbani,kulea watoto na kufanya usafi.Mwanamke akikudhidi kipato Basi wewe mzidi elimu.Akikudhidi elimu Basi wewe mzidi kipato.Akikudhidi vyote Basi wewe mzidi maarifa,Tunachokwepa ni kuepuka manyanyaso dhidi ya wanaume maana mwanaume...
  6. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliooa huu ndo uamuzi sahihi kwa wenye tabia hizi

    Unakuta Kila kitu mwanaume anaandaliwa na dada wa kazi maji ya kuoga,chakula,anafuliwa nguo,kupokelewa begi akitoka kazini,kunyooshewa nguo n.k hivi unadhani kwa hayo yote lazima atafikilia kumbe huyu dada ndio wife material alafu unakuta mke Yuko bize na kuchat kwenye simu aisee mapinduzi ya...
  7. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Pole Sana jipe moyo na ujasiri Ukiona hivyo ni dalili zinazoonesha mkeo kapata bwana mwingine au labda kakuchoka kutokana na kipato chako au labda ubinafsi unamsumbua,kwanini anatoa maamuzi ya haraka ya kuachana badala ya kutafuta suluhu wapi mlipotofautiana au kukwazana.Itisheni kikao Cha...
  8. ShalomP

    JamiiForums Tanzania Niko njiani naelekea Moro, mliopo Morogoro au Dar naombeni mchongo

    Hongera kwa kuchukua maamuzi magumu ya kuweka vyeti kando,Maisha ni mbio,maisha ni Vita,maisha ni Safari,maisha ni mtihani na pia maisha ni mapambano.Nenda kapambane kamanda Mwenyezi Mungu akufungulie milango ya baraka kikubwa tu piga shughuli za halali,kambi popote pale.Katika utafutaji...
  9. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Daaah jamani ebu acheni hizo yaaan sio kwa kufurahisha huku kwa maoni mnayotoa humu mnasababisha nicheke kwa sauti Kuna watu mna vipaji vya kufurahisha.Ila wanaume tunaogopa majukumu kumbe ndio maana baadhi yao huogopaga kuoa mapema.,utasikia unaowa lini bado niponipo Kwanza kumbe na kaubahili...
  10. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Daaah nimecheka kwa sauti itabidi tuanzishe chama Cha kutetea haki za wanaume yaaan hatupoi[emoji86][emoji87][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1241]
  11. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Taratibu naenjoy kusoma maoni ya wachangiaji humu ndani,kikao bado kinaendelea.[emoji23][emoji23][emoji1787]
  12. ShalomP

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Hakika umenena ,makini na iko vizuri.[emoji1374][emoji1374][emoji1374]
  13. ShalomP

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe mpango wa elimu kwa watu wazima

    Naiomba serikali ianzishe elimu maalumu ya watu wazima ambao hawakubaatika kujifunza Kwenye mtaala rasmi. Yaani waanzishe mtaala usio rasmi kwa ajili ya watu ambao hawajui kusoma Wala kuandika. Katika harakati zangu za kusaka maisha Kuna baadhi ya vijiji nimetembelea na kukuta Kuna baadhi watu...
  14. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waacheni waoane, kwani kuna tatizo?

    Hivi inakuaje mzazi unamchagulia mwanao wa kiume mke wa kumuoa au mwanao wa kike mume wa kuolewa naye. Kama wamependana kwanini msiwaache waende kuishi kwa Amani na taratibu zote na kanuni zikafuatwa. Yaani kuna rafiki yangu ametengwa na wazazi wake hasa baba yake kisa kaowa Mwanamke ambaye...
  15. ShalomP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Funzo alilotuachia Grace Mushi wa Makabe

    Adhabu za aina hii sio kabisa ni heri angempa mwanaume nafasi ya kujitetea,Mapenzi au mahusiano hayalazimishwi Kama mtu akupendi we achana nae kwani wengine hawapo? Ukijikubari,ukijithamini na kijipenda mwenyewe mahusiano hayawezi kukupa shida.Kwani wanaume wameisha mbona wapo wengi tu.Wanaume...
Back
Top Bottom