Recent content by shaja

  1. S

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Radio gani inatangaza matokeo live kwa tulio Dar es Salaam.?
  2. S

    Nahitaji Pikipiki

    Habari wadau. Nahitaji kupata pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi. Bajeti yangu haitoshi kununua pikipiki mpya. Hivyo nahitaji kununu ambayo imetumika, laikini iwe katika hali nzuri, iswe ilitumika kwa bodaboda. Na napenda zaidi boxer, yamaha au sanlg cg. Mwenye nayo ani PM,budget...
  3. S

    Uongozi wa Musoma Technical na wanafunzi wamemshukuru mbunge wa Musoma Mjini

    Wanafunzi mtunze vyoo vizuri...sio kunya kunya pembeni na kusepa..ukinya safisha vizuri kuweka mazingira mazuri kwa wengine..msije kuwa mnakunya pembeni, mikojo inaenea ndani kote sio poa.
  4. S

    Nauza TV ndogo nchi 14

    Wakuu mzigo bado upo.
  5. S

    Suzuki swift reg.blm inauzwa mil5.5

    Weka picha kabisa mkuu..itakurahisishia biashara.
  6. S

    Nauza TV ndogo nchi 14

    Ni ya chogo mkuu so ni CRT
  7. S

    Nauza TV ndogo nchi 14

    High-definition video is video of higher resolution and quality than standard-definition.
  8. S

    Nauza TV ndogo nchi 14

    Wakuu,nauza TV yangu ndogo nchi 14 aina ya THOMSON iko na remote,ni fully HD.. inafaa kwa matumizi kama ya Saloon. Nipo DSM. Kama ukihitaji ni PM uje tuitest. Bei 75000/=. Maelewano mpaka uione.
  9. S

    Samsung Galaxy Pocket For Sale

    Nipo Dar Mkuu.!
  10. S

    Samsung Galaxy Pocket For Sale

    Wakuu nauza simu yangu aina tajwa hapo juu ina miezi 6 iko poa kabisa na headphone zake. Bei ni 90000/-. Kama ukiitaji ni PM.
  11. S

    Boxer bm 150 reg. T... Cfu nauza 1.3m ina mwaka tu

    Mkuu imetembea kilometer ngapi.? Ilikuwa inatumika kwa bodaboda..ina bima.!? Kwann umeamua kuuza..!?
  12. S

    Msaada wa designing & printing

    Mkuu...ukihitaji website kwa ajili ya kampuni tuwasiliane..ntakupa zinga la offer..ni pm tuongee vizuri.
  13. S

    Carrier Opportunities-Paradigms Business College

    Wakuu, wenye sifa karibuni kuomba nafasi hizi CARRIER OPPORTUNITIES 1. PHARMACISTS – 4 POSTS - Registered Pharmacist 2. PHARMACEUTICAL TECHINICIAN – 2 POSTS -Registered Pharmaceutical Technician 3. Registered Nurses – 2 POSTS 4. Registered Medical lab technicians – 2 POSTS Mode of Application If...
  14. S

    Nahitaji Subwoofer

    Salaam.! Nahitaji Subwoofer iwe na sifa zifuatazo- FM Radio Uwezo wa kuplay Kwa flash disk Uwezo wa kuplay na memory card Uwezo wa kuunganishwa na vifaa vingine kama tv,computer nk Mwenye nayo anipm tuongee biashara. Budget yangu 70000/-
  15. S

    Website Designing and Hosting

    Hi all! If you have plan to either have or host Website please contact us, we do all for cheapest,fastest and for affordable price. www.choiceict.com
Back
Top Bottom