Mkuu kimara gani hyo?
Hahahaha usidanganye kata INA mitaa na vitongoji 1y CCM 11 chadema t.Mbutu chadema imepata vitongoji sifuri kijiji kizima ambacho diwani wake no wa chademaIGUNGA MJINI CCM 1 - 5 CDM. Kulikua na vitongoji 6.
kiseke b mwanza, charles kishoronga ccm 306, mteule seleli chadema 460....
Peoplesssssssss
engmtolera unaweza kudhibitisha hii kitu...!?Hapa Morogoro kata ya Kihonda Maghorofani kwa mara kwanza Chadema mpaka sasa imezoa mitaa 3, CCM wasifikiri hizi ni enzi za mwalimu. Vijana sasa hivi hawataki mchezo. Viongozi wa CCM walikuwa na kauli za kejeli sana sasa leo wamevuna walichopanda na hii imewapa hamasa watu hasa vijana na akina mama kuwa uchaguzi ujao utakuwa mgumu kwa CCM.
vipi mtaa wa magogoni.....rais najua hakupiga kura maana hakujiandikisha kutokana na tezi tu
Monduli; Kitongoji Kambi ya Mkaa
CHADEMA 27
CCM 13
Mwanga Mtaa wa Lwami;
CHADEMA 55
CCM 35
Arumeru Magh. Kitongoji Endulele
CHADEMA 170
CCM 130
Ushirombo mjini;
CHADEMA inaongoza vitongoji 10
CCM inaongoza vitongoji 4
Moshi Manispaa; Kitongoji Longuo A
CHADEMA 206
CCM 66
Mbozi Mtaa wa Mbugani
CHADEMA 227
CCM 160
Mbozi; Mtaa Masaki
CHADEMA 99
CCM 44
Kigoma Mjini; Mtaa wa Gezaulole
CHADEMA 240
CCM 198
Ukonga- Mtaa wa Kivule Majohe
CHADEMA 231
CCM 77
Musoma Vijijini- Kijiji cha Muhoji
CHADEMA 197
CCM 464
Ubungo- Mtaa wa Msewe
CHADEMA 683
CCM 356
Kinondoni- Mwenge Nzasa
CHADEMA 344
CCM 318
Tarime Forodhani boda (kitongoji)
CHADEMA 289
CCM 90
Tarime Forodhani Kijiji
CHADEMA 312
CCM 99
Monduli Mto wa Mbu Kijiji Jangwani
CHADEMA 147
CCM 124
Mwanga Kitongoji Mgagao
CHADEMA 56
CCM 32
Rorya- Mtaa Ngasaro
CHADEMA 480
CCM 360
Arumeru Mash. Mtaa wa Manyata
CHADEMA 168
CCM 91
Ubungo- Mbezi Yusuph
CHADEMA 190
CCM 163
Mwanga- Mtaa Mtahanga
CHADEMA 116
CCM 73
Ilemela- Mtaa wa Pasiansi
CHADEMA 689
CCM 247
Karatu- Mtaa Mazingira
CHADEMA 290
CCM 130
Karatu Mtaa wa Maliasili
CHADEMA 240
CCM 77
Karatu- Mtaa wa Manyara
CHADEMA 220
CCM 170
Tarime Mtaa wa Bugosi
CHADEMA 438
CCM 138
Tarime Mtaa wa Regoryo
CHADEMA 191
CCM 75
Segerea Mtaa wa Migombani
CHADEMA 547
CCM 225
Mamlaka ya Mji mdogo Shirati-Rorya ina mitaa 9
CHADEMA mitaa 7
CCM mitaa 2
Mererani mitaa 8
CHADEMA mitaa 7
CCM mtaa 1
Labda kitongojini kwako. Sehemu nyingi chadema wamechukua. Kilakala chadema, bigwa chadema Bong`ola chadema ccm imeshinda wapi?
moro tungi chadema wameula
Kutoka mbinga mkoani ruvuma, kitongoji cha mkinga juu ccm kidedea kwa kuzoa kura 61, huku cdm wakipata kura 10 tu, kura zilizopigwa 84, zilizoharibika 13!
Stop over mgombea wa ccm hakubali matokeo anarusha ngumi.