Recent content by Shaghube

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli

    Sanaa ya lugha!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Kina nani wanasema??
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema ATCL kufanya safari zake nchini humo ni fursa ya kiuchumi

    Chonde chonde tusijesikia ndege yetu tukufu imekamatwa London!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji wavamia Ubalozi wa Afrika Kusini kudai kuachiwa kwa ndege ya Tanzania. Watatu wakamatwa wakidaiwa kuwa viongozi

    ina maana intelijensia ya polisi haikupata habari hizi mapema kama inavyopata za mikutano ya wapinzani?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu sio ya kushangilia

    Nakumbuka kuna mbunge alishinda uchaguzi akiwa kitandani mgonjwa na akaendelea kuwa mbunge hadi mola alipomuita
  6. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Fredrick Onael Shoo ashinda kuwa Mkuu wa Kanisa la KKKT

    mshahara 2023
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Serikali inalijua deni la lililosababisha ndege ikamatwe: Lipo hadi kwenye ripoti ya CAG

    Na usisahau DAIMA dawa ya DENI ni KULIPA sio kutafuta huruma na zaidi BUSARA ni kukopa ukijua utalipaje vinginevyo ni kujitia kwenye majanga
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Serikali inalijua deni la lililosababisha ndege ikamatwe: Lipo hadi kwenye ripoti ya CAG

    Bila kuwasahau wanaokopa kila kukicha bila kulipa kisha wakidaiwa wanawaita waliowakopesha mabeberu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    jenga hoja acha kebehi hiyo ni dalili ya upeo mdogo wa kuchambua mambo hebu fafanua mtu anaposema kama ni kweli ina maanisha nini
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    kumbe huna uhakika na usemacho ndio maana ukasema kama ni kweli
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Mamba
  12. S

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Magufuli kuongoza nchi kwa kipindi cha pili haupo

    wapo waliosema kama wewe 2015 sasa hivi hatupo nao washatangulia na kumuacha waliyedhani atawatangulia kumbuka MUNGU hapangiwi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Haya kasema kweli ni yeye mshikeni sasa
Back
Top Bottom