Mh. Rais, kwenye ualimu kuna program tunaita STAFF DEVELOPMENT. Kwamba kila mwaka kuwepo na utaratibu endelevu wa walimu kwenda kuendeleza taaluma zao ili kukuza ufanisi.
Huko nyuma walimu walikuwa wanaenda masomoni na bado madaraja yao yanapanda kama kawaida, lakini serikali yako imekuja na...
Serikali ingetofautisha madaraja ya walimu wa sayansi na walim wa sanaa. Walimu wa sayansi wapande madaraja baada ya miaka mitatu na wale wa sanaa baada ya miaka mitano kama ilivyo sasa kwa wote. Tatzo hao walioko huko juu asilimia kubwa ni artists, kwaio linapokuja suala la kutetea maslahi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.