Recent content by shafii77

 1. S

  Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

  Sio rushwa hyo ni kama shukrani BTW niko makini sana
 2. S

  Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

  Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia...
 3. S

  Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

  Shukrani mkuu ngj nifanye maandalizi mapema
 4. S

  Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

  Bongo naeza jilipia mwenyew na kuwalipia wengine ata watatu
 5. S

  Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

  Nlmaanisha olevel na advance
 6. S

  Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

  Ndio sponsor yupo anaishi hapo FLORIDA ndo maana nkapendekeza hyo state by the way nataka nkasomee diploma either masomo ya biashara ama political science
 7. S

  Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

  Habarini wanaJF, Mimi ni mhitimu wa kidato chasita mwaka 2017 lengo la kuja hapa mbele yenu ni kuomba ushauri kwa wenye experience ya kusoma nchini USA kwa maana mwakani nataka nijiunge katika chuo mojawapo hasa katika state ya FLORIDA advance na secondary nmesoma masomo ya arts HKL na matokeo...
 8. S

  Huu ni ugonjwa gani?

  Habarini za usiku ndugu na rafiki zangu? Bila kusita niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri miaka 26 nina mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo, maumivu ya mara kwa mara chini na pembeni ya kitovu na maumivu hayo huvuta mpaka shingoni na mwili mzima, maumivu...
 9. S

  Part time job ya kufanya usafi

  Mkuu kama bado hujapata mtu naomba tuwasiliane DM
 10. S

  Mkataba wa kazi gardaworld

  Poa ndugu
 11. S

  Mkataba wa kazi gardaworld

  Mm mwenyewe nnahitaji kuomba kazi kwenye hyo kampuni ya ulinzi jaman kazi mtaani hakuna. Kwa anayefaham ofisi zao au jinsi ya kutuma maombi naomba anielekeze pia na vigezo vyao. Ahsanteni
 12. S

  Watanzania tunajua kwamba bei ya kupata hati ya kusafiria ni Tsh 150,000

  Wadau mm nna swali hapo kuna ktu sjaelewa hivi passport ndo inakuwa specified kwa nchi Fulani unayokwenda au ni visa, hii imekaaje wadau
Top Bottom