Ila haya mambo bwana Yan mtu ambaye alikuwa analalamikiwa kuteuliwa Kwa ujanjajanja ndo hyo anapetA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ndo bongo had kufikia oktoba atakuwa amebaki 1 tu na ndo Kaz itakuwa imekwisha
mie nasubir kuona hyo cku itakuwaje maana hata sielew na kadi yangu nahis itakuwa Kwa matumiz mengine2 maan kupiga kura now days kama nikupoteza mda2 🤔🤔🤔🤔
Hilo sas tatizo la mtu binafsi et lakin ka mtu alokuwa na maadili lazma akuite ndan bwana mke wangu hapa umekosea lkn siku nyingine fanya hv na hv Kwa upendo et
Sasa hpo husiseme et Haina waislam wengi ila hyo maeneo Yana baridi Sana ndo maana watu wanafanya Sana hilo tendo,kwahyo shda sio ukristo shda n hali ya hewa,
Tatizo unakuwa umekosea unaelekezwa unakuwa mjeuri sa unahisi kinachofuata nn? We umekosea kubali kuelekezwa maana hakuna anayejua kila kitu lkn shda ukikosolew unareact vp?
Tatizo n mazoea kwenye ndoa watu wanakuwa wanaishi Kwa mazoea lakn Kwa mchepuko anajua akipata hyo nafasi kuzipata tena siku zinapita so lazma afanye analoweza ili mwamba amiss kurudi cku nyingine
Tatizo sio Sheria mkuu,lakin wanaosimamia hzo Sheria mfano mtu anataka kujenga kaenda kuchukua hyo permit siku ya mwanzo kapewa lakn hao wanao mpa hyo permit wako ofisin na hata wakija site wanakuja cku moja2 hawanawez kurud tena Kufatilia huyu hilo jengo kuwa limejengwa kulingana na makubaliano...
Dah! Hili n janga kubwa Kwa wakati huu,maana saiv Dunia imechangamka hatarii,mtoto yako la saba hakuna kitu unamdanganya afike secondary , afike advance had kumaliza chuo unahis atakuwa kashatembea na wanaume wangap? kwahyo kuhus DNA bas hakuna mtu atachomoka kwenye hilo maana wengi wetu tunaoa...
Nashindwa kuamin kama n kwel hvi vitu vipo, ila kama n kwel bas wanakuwa wanafeli maana huo n uoga kiwango Cha flyover maana kila kitu unacho wewe ila kitu kidogo unahaha,chama tawala ifikie wakati waache wananchi waamuae wao ila co kuleta ubabae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.