Recent content by Shaf_at96

  1. S

    Waziri mkuu atoa salamu za pole kifo cha William Lukuvi

    Kila anayekufa utasikia jana nimeongea nae alikuwa mzima wa afya 🙄🙄🙄hili bunge kama hawata jiuzul wataisha wote
  2. S

    Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia

    Yan hata mwaka haujaisha watu washaanza kutishiana uchaguzi unaokuja dah! Alafu unambie watu hawana uchu wa madaraka?ila dalili za mama kuwa nae Hadi 2035 naziona 🤣🤣🤣🤣🤣
  3. S

    Credit Card au Debit Card: Ni kadi ipi Inafanya Maisha yako Kuwa Rahisi Zaidi?

    Hapa ujue kama zilivyo tofauti hzo card hata watumiaji wanakuwa tofaut,kivp? Kwa sababu mtu ambaye mizunguko yake ya pesa inakuwa midogo hawezi kusema credit card n nzuri kwa sababu Hana uhakika na miamala yake lakn mtu ambaye anauhakika wa pesa any time credit card hawezi kuwaza kutumia maana...
  4. S

    Hivi ni kweli Nchimbi anahitajika kuweka mambo sawa 2030? Kwanini isiwe chama kingine kama CCM ya sasa inapwaya?

    Shida sio kiongozi,Wala shida sio chama shida n katiba amabayo haifanyi watala kuwajibika kwa wananchi badala yake wanakuwa wanawakumbuka wakati wanataka kura, hvo hata kama akija Nan? Kama mifumo haitabadilika aaah! Mambo n yaleyale2, mwisho wa siku itakuw a kama stori ya mwenda zake
  5. S

    Vijana wengi hawajui siri hii: Nusu ya kipato chako ndio kiwango cha matumizi yako hayatakiwi kuzidi hapo

    Hyo sanaa ina work out kama ukikwama unapakwenda kulilia shida yako ukasaidiwa kwa wakati lakn kama wengine na sisi ambao mjini upo wewe kama wewe hata huko ulikotoka ukipata shida hakuna msaada aaaaah sidhani ?
  6. S

    Athari za kukiuka sheria zaitesa CHADEMA kwenye medani ya siasa za Tanzania

    Hao wabobevu wa siasa hyo maoni waliyatoa kipindi gan au unawasemea maana hatuwasikii mkuu?na kuhusu kukosa ushawishi kwa umma sio kwel maana kama ili Chama Cha siasa kiendelee kuimalika kinanatikiwa kuuza sera zaka kwa wananchi lakin watala hawataki iwe hvo,ndo maana wakisikia2 kuna mkutano au...
  7. S

    DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Kwanza wao wanawekeza hizo pesa wanaingiza faida alafu mwanachama hakana kitu kinaongezeka kwenye mchanngo wake alafu kwenda kuchukua pesa mizunguko miingi utafikili hawaingiza faida kupitia michango yako
Back
Top Bottom